Hiyo 45% nyingi sana. Huko kutukuzwa heshima, heshima ipi kwa lipi?. Labda kwaa kusafiri nje ya nchi kwa muda mfupi tangu awe Rais.Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
Mama ana zaidi ya 45% kwasabb hauwi, hateki, hapori, hafilisi Wala hatukani watu hovyo kama yule jini jiwe mtoa rohoHiyo 45% nyingi sana
Mtakatifu wako alikuta mipango ya kinyerezi,akakimbilia bwawa ambalo haliishi kwa miaka mitatu,mbaya zaidi miaka yote alijenga 30+%,mama mwaka tu kafika 70+%,anaajiri,anaongeza mishahara, madaraja wanapanda,mikopo elimu ya juu na nk,endelea kulia matangaKwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado,mgumuko was bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
Wewe zuzu sana hiyo mikopo unayoisema IPI sakata LA wanavyuo linajadiriwa mpaka bungeni.Mtakatifu wako alikuta mipango ya kinyerezi,akakimbilia bwawa ambalo haliishi kwa miaka mitatu,mbaya zaidi miaka yote alijenga 30+%,mama mwaka tu kafika 70+%,anaajiri,anaongeza mishahara, madaraja wanapanda,mikopo elimu ya juu na nk,endelea kulia matanga
Haa si mjenge sasa maana mipango mnayo nyieMtakatifu wako alikuta mipango ya kinyerezi,akakimbilia bwawa ambalo haliishi kwa miaka mitatu,mbaya zaidi miaka yote alijenga 30+%,mama mwaka tu kafika 70+%,anaajiri,anaongeza mishahara, madaraja wanapanda,mikopo elimu ya juu na nk,endelea kulia matanga
Kwakweli amani ya moyo na nafsi ni kila kitu....! Tuna amani nafsini mwetu...Mama ana zaidi ya 45% kwasabb hauwi, hateki, hapori, hafilisi Wala hatukani watu hovyo kama yule jini jiwe mtoa roho
Kabisa mkuu. Acha nilalie kipande cha mhogo lkn nina amani nafsini.Kwakweli amani ya moyo na nafsi ni kila kitu....! Tuna amani nafsini mwetu...
KoteWapi hakuna Umeme?
Nipo bahari beach hapa Umeme bwerere!Kote
Tatizo hufuatilii mambo ya nchi, kinyerezi inajengwa,rufiji inajengwaHaa si mjenge sasa maana mipango mnayo nyie
Unakoishi umeme upo au umekimbilia bahari beach hali ya unakoishi hujui?Nipo bahari beach hapa Umeme bwerere!
Mwenge Umeme upoUnakoishi umeme upo au umekimbilia bahari beach hali ya unakoishi hujui?
Wasalimie hapo Ufipa stHongera Sana Dr Chief Hangaya SSH.
Zimefika ngoja nipige kiepe na firigisi hapa American Chips kisha nasogea ufipa kuwapa salamu.Wasalimie hapo Ufipa st
So far Mama kajitahidi na ukimaind na Jinsia yake mimi nimeshampa 65%Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu
45% zote hizo? Mi nampa gwala a.k.a Hi 5 percentKwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado,mfumuko wa bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
Hebu acheni kulalama bila sababu. Hivi mlitarajia kwa mwaka mmoja afanye miujiza ya vyanzo mbadala vya umeme. Huyu mama kafanya mambo mengi sana ndani ya muda mfupi, ni vile tu mmeamua kuvaa miwani ya mbao.Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado,mfumuko wa bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .