Doctor yeyote humu naomba ushauri katika hili...

Kwan mechi zote ulizocheza unauhakika zlikuwa nisalama? au unao unatafuta sababu yakuupata tofauti nazinaa
 
Nenda hospitali haraka zipo njia za kuepusha maambukizi ndani ya muda fulani, muda unaopoteza humu ni muhimu mno ungeutumia kwa wataalamu.
 
Lisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati yao kumuokoa,ktk kusukumizana sukumizana nikaangushwa chini kwenye lami kisha nikamdhibiti kijana asiendelee kupigwa,baada ya kuwa watu wameshapoa kwa hasira nikamuacha kwenye mikono salama ila nikajikuta nimebaki na damu kwenye kiganja cha mkono wangu ambao nao umepata michubuko kwenye vidole viwili kwa juu,nimenawa maji na sabuni ila naomba ushauri wenu siwezi kupata madhara yoyote in case jamaa akawa ana tatizo?nawasilisha
Wahi hospital within 72 hours ukapewe kinga ya ngoma
 
mwizi anapigwa nawatu wengi ???? Weee mmoja ndo ukaingia kumsaidia ???? Akati huna uhakika kama kaiba ?? Wat if km kweli nimwizi kaiba ??? .

Sitaki kuamin kama ujasiri mkubwa ulonao wakumuokoa jamaa mikonon mwa makumi yawatu ,huo ujasiri umekupotea.

Dahhhhhh hapo bado sijaielewa vizuri.

Anyway ....Kama nikweli wasiwasi wako nisababu ya kumuokoa jamaaa Basi Umzm Wa afya .

Ila km umetumia maelezo mengine kuelezea wasiwasi mwingine ,,Basi nivema kutuliaa kisha baadae ukachukie vipimo... Kugasana nadamu yamtu nihatar sana.

Hahahaaaaa,si aseme tu kala dege lisiloliwa?????
 
Mbn van dame hujawahi mdoubt,sanasana huwa unaongeza popcorn
 
Kwa stori hiyo kitu cha kwanza ni kufika kituo cha huduma upate ushauri then upime HIV.Kama utakuwa negative then utapata huduma ya PEP Post Exposure Prophlyaxis ila huduma inatolewa ndani ya saa 72 toka ulipopata tukio la kugusana na huyo damu.

Na kama majibu ya HIV ni positive basi huduma ya PEP hautapewa ila utapewa ushauri kuhusu dawa za ARVs na chakula
 
Nawashukuru wote mlionishauri vyema ktk situation mbaya iliyonipata jana,nimeenda leo kwa doctor ameniambia kwa7bu bado nipo ndani ya masaa72 atanianzishia dawa kaniambia nizitumie ndani ya 28days.pia kupitia hili nimejifunza mengi niliyokuwa siyajui pamoja na kufahamu hali yangu kiafya kwa ujumla.Mungu awabariki sana.
 
wabongo bwana mmeambiwa afanyaje ili kuweza kuepuka maambukizi nyie mnamlaumu kwa kuokoa mwizi.
 
Lisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati yao kumuokoa.

Katika kusukumizana sukumizana nikaangushwa chini kwenye lami kisha nikamdhibiti kijana asiendelee kupigwa,baada ya kuwa watu wameshapoa kwa hasira nikamuacha kwenye mikono salama ila nikajikuta nimebaki na damu kwenye kiganja cha mkono wangu ambao nao umepata michubuko kwenye vidole viwili kwa juu,nimenawa maji na sabuni ila naomba ushauri wenu siwezi kupata madhara yoyote in case jamaa akawa ana tatizo?nawasilisha
Ni vizuri uende kufanya check up na upewe ushauri wa kitaalamu katika sehemu za kutolea huduma za afya
 
Kilichotakiwa ni kufanya vipimo vya HIV,yaani alitakiwa huyo mwizi wako apime kama ana VVU.Kama ataonekana positive HIV wewe unatakiwa upate dawa za kujikinga( post exposure prophylaxis) hizo zinatolewa ndani ya masaa 72.Nakushauri nenda hospital kitengo cha care and treatment( CTC) ukapate ushauri kabla masaa 72 hayajapita.
 
Asante wakuu,nimeenda na huduma hizo zote nimeshazipata.
 
Yaan unamaanisha uoga wako ni sawa useme na uende kona baa upige malaya kavu,..tehethetehteh
 
Back
Top Bottom