Wahi hospital within 72 hours ukapewe kinga ya ngomaLisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati yao kumuokoa,ktk kusukumizana sukumizana nikaangushwa chini kwenye lami kisha nikamdhibiti kijana asiendelee kupigwa,baada ya kuwa watu wameshapoa kwa hasira nikamuacha kwenye mikono salama ila nikajikuta nimebaki na damu kwenye kiganja cha mkono wangu ambao nao umepata michubuko kwenye vidole viwili kwa juu,nimenawa maji na sabuni ila naomba ushauri wenu siwezi kupata madhara yoyote in case jamaa akawa ana tatizo?nawasilisha
mwizi anapigwa nawatu wengi ???? Weee mmoja ndo ukaingia kumsaidia ???? Akati huna uhakika kama kaiba ?? Wat if km kweli nimwizi kaiba ??? .
Sitaki kuamin kama ujasiri mkubwa ulonao wakumuokoa jamaa mikonon mwa makumi yawatu ,huo ujasiri umekupotea.
Dahhhhhh hapo bado sijaielewa vizuri.
Anyway ....Kama nikweli wasiwasi wako nisababu ya kumuokoa jamaaa Basi Umzm Wa afya .
Ila km umetumia maelezo mengine kuelezea wasiwasi mwingine ,,Basi nivema kutuliaa kisha baadae ukachukie vipimo... Kugasana nadamu yamtu nihatar sana.
Mbn van dame hujawahi mdoubt,sanasana huwa unaongeza popcornmwizi anapigwa nawatu wengi ???? Weee mmoja ndo ukaingia kumsaidia ???? Akati huna uhakika kama kaiba ?? Wat if km kweli nimwizi kaiba ??? .
Sitaki kuamin kama ujasiri mkubwa ulonao wakumuokoa jamaa mikonon mwa makumi yawatu ,huo ujasiri umekupotea.
Dahhhhhh hapo bado sijaielewa vizuri.
Anyway ....Kama nikweli wasiwasi wako nisababu ya kumuokoa jamaaa Basi Umzm Wa afya .
Ila km umetumia maelezo mengine kuelezea wasiwasi mwingine ,,Basi nivema kutuliaa kisha baadae ukachukie vipimo... Kugasana nadamu yamtu nihatar sana.
Ni vizuri uende kufanya check up na upewe ushauri wa kitaalamu katika sehemu za kutolea huduma za afyaLisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati yao kumuokoa.
Katika kusukumizana sukumizana nikaangushwa chini kwenye lami kisha nikamdhibiti kijana asiendelee kupigwa,baada ya kuwa watu wameshapoa kwa hasira nikamuacha kwenye mikono salama ila nikajikuta nimebaki na damu kwenye kiganja cha mkono wangu ambao nao umepata michubuko kwenye vidole viwili kwa juu,nimenawa maji na sabuni ila naomba ushauri wenu siwezi kupata madhara yoyote in case jamaa akawa ana tatizo?nawasilisha
Kilichotakiwa ni kufanya vipimo vya HIV,yaani alitakiwa huyo mwizi wako apime kama ana VVU.Kama ataonekana positive HIV wewe unatakiwa upate dawa za kujikinga( post exposure prophylaxis) hizo zinatolewa ndani ya masaa 72.Nakushauri nenda hospital kitengo cha care and treatment( CTC) ukapate ushauri kabla masaa 72 hayajapita.Lisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati yao kumuokoa.
Katika kusukumizana sukumizana nikaangushwa chini kwenye lami kisha nikamdhibiti kijana asiendelee kupigwa,baada ya kuwa watu wameshapoa kwa hasira nikamuacha kwenye mikono salama ila nikajikuta nimebaki na damu kwenye kiganja cha mkono wangu ambao nao umepata michubuko kwenye vidole viwili kwa juu,nimenawa maji na sabuni ila naomba ushauri wenu siwezi kupata madhara yoyote in case jamaa akawa ana tatizo?nawasilisha
Ni vizuri uende kufanya check up na upewe ushauri wa kitaalamu katika sehemu za kutolea huduma za afya
Asante wakuu,nimeenda na huduma hizo zote nimeshazipata.Kilichotakiwa ni kufanya vipimo vya HIV,yaani alitakiwa huyo mwizi wako apime kama ana VVU.Kama ataonekana positive HIV wewe unatakiwa upate dawa za kujikinga( post exposure prophylaxis) hizo zinatolewa ndani ya masaa 72.Nakushauri nenda hospital kitengo cha care and treatment( CTC) ukapate ushauri kabla masaa 72 hayajapita.