Doctors hizi ni dalili za ugonjwa gani..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Miguu na mikono kuwa na ganzi,macho kuona ukunguukungu ama kuhisi kama uchachuuchachu machoni hasa ukifumba macho..

doctors msaada tafadhali
 
Miguu na mikono kuwa na ganzi,macho kuona ukunguukungu ama kuhisi kama uchachuuchachu machoni hasa ukifumba macho..

doctors msaada tafadhali
Mkuu mimi sio 'doctor' lakini nmewahi kupata hali kama yako!
Miguu na mikono ilikuwa inakufa ganzi hasa usiku hadi nashindwa kugeuka, macho kama yameingia mchanga na kuwasha kama nimewekewa limao LAKINI baada ya uchunguzi wakina niliambiwa ni VIDONDA VYA TUMBO ndivyo vimeathiri mfumo wa chakula na mzunguko wa damu mwilini hivyo kacheki hali ya tumbo lako mkuu
 
Asante mkuu
 
Macho kuona uchachu?
Kuna mtu anachezea nyota yako.
Jaribu kwenda kwa wasafisha nyota.
 
hizo sio dalili za vidonda vya tumbo. Usitoe ushuhuda wa uongo. Ulikua na vidonda vya tumbo na ugonjwa mwingine
 
Macho kuona uchachu?
Kuna mtu anachezea nyota yako.
Jaribu kwenda kwa wasafisha nyota.
Mkuu sio kuona uchachu ni kuhisi!
asante kwa ushauli wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…