Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi sio 'doctor' lakini nmewahi kupata hali kama yako!Miguu na mikono kuwa na ganzi,macho kuona ukunguukungu ama kuhisi kama uchachuuchachu machoni hasa ukifumba macho..
doctors msaada tafadhali
Asante mkuuMkuu mimi sio 'doctor' lakini nmewahi kupata hali kama yako!
Miguu na mikono ilikuwa inakufa ganzi hasa usiku hadi nashindwa kugeuka, macho kama yameingia mchanga na kuwasha kama nimewekewa limao LAKINI baada ya uchunguzi wakina niliambiwa ni VIDONDA VYA TUMBO ndivyo vimeathiri mfumo wa chakula na mzunguko wa damu mwilini hivyo kacheki hali ya tumbo lako mkuu
Na mimi pia nataka pole![emoji30]Polee
Nawe wataka pole ya nini?Na mimi pia nataka pole![emoji30]
hizo sio dalili za vidonda vya tumbo. Usitoe ushuhuda wa uongo. Ulikua na vidonda vya tumbo na ugonjwa mwingineMkuu mimi sio 'doctor' lakini nmewahi kupata hali kama yako!
Miguu na mikono ilikuwa inakufa ganzi hasa usiku hadi nashindwa kugeuka, macho kama yameingia mchanga na kuwasha kama nimewekewa limao LAKINI baada ya uchunguzi wakina niliambiwa ni VIDONDA VYA TUMBO ndivyo vimeathiri mfumo wa chakula na mzunguko wa damu mwilini hivyo kacheki hali ya tumbo lako mkuu
Naumwa mapenzi rafiki,kuna mtu namtaka hapa halafu ananipiga chenga![emoji30]Nawe wataka pole ya nini?
Kumbe vya kujitakia hata sikupi polee,komaaaaaaaaaaaaa!Naumwa mapenzi rafiki,kuna mtu namtaka hapa halafu ananipiga chenga![emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kha! unanionea wivu hadi mimi mgonjwa..?
Kumbe maumivu ya mapenzi ni ya kujitakia?[emoji30].....i never knew!!......Niambie kwanza,mjomba wangu ameshazaliwa?[emoji1]Kumbe vya kujitakia hata sikupi polee,komaaaaaaaaaaaaa!