Doctors ingia hapa tafadhali

Doctors ingia hapa tafadhali

loveleen

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
428
Reaction score
113
Salaams wapenz.....

Mtoto wa dada yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 9 ameanza kusumbuliwa na miguu kwasasa ana miezi 4......


Ilianza ghafla tu akawa analalamika kua visigino vyake vinauma akapelekwa hospital akachekiwa wakasema malaria tu akapewa dawa akamaliza doz lakn bado akawa anaendelea kulalamika kua bado visigino vinamuuma......ikabidi akafanyiwe"( X ray)"......

Majibu ya X ray yakasema kua visigino vyake vimeachia nasio kwamba vimeachia tu from nowhere hapana ila alizaliwa ivyo na hili tatizo halikuonekana alipokua mdogo ndio limejionyesha saivi.....

JE huu ni ugonjwa gani maana amepatiwa dawa za kumeza pamoja na sindano ili kuunga izo sehemu za visigino zilizoachia.....

Bahat mbaya au nzur doz kamaliza na bado mtoto analalamika.....

Mtoto anasema miguu inakua kama inavuta tu na maumivu sio sana na inauma pale anapokua amekaa mda mrefu au amelala akiamka ndio anahisi maumivu na akianza kutembea maumivu yanaanza lakn mwendo ukichanganya maumivu yote yanapotea......

Jaman wataalam wa mambo haya aje pande hii anipe mawazo yake au tiba tafadhal......

Kama kuna mwenye dawa au anielekeze wapi huyu mtoto anaeza ponywa anijuze.......

Issue ni kusogeza ivyo visigino vilivyoachia.......

Picha nimeonyesha miguu yake kwa mbele na miguu yake yote miwili kwa ubavu ubavu.....picha za X ray ukizipiga camera hua hazionyeshi vizur lakn atlist nimezipiga vyema na zimeonekana japo sio clear.......lakn ukiangalia vizur utaona nilichojaribu ku kile za......

Mnisamehe saana kwa kuwachosha.......

Hii hapa chini ndo picha halisi ya visigino vya babe boy mwenyewe.......👇👇👇👇👇👇👇
 

Attachments

  • 1416809027037.jpg
    1416809027037.jpg
    22.3 KB · Views: 137
  • 1416809040172.jpg
    1416809040172.jpg
    22 KB · Views: 127
  • 1416809054368.jpg
    1416809054368.jpg
    18.8 KB · Views: 113
ajaribu kwenda kwenye dawa za kisunnah zipo zita kazomsaidia na kuisogeza kabisa iyo mifupa nakua sawa......aende kariakoo zilizo stand ya gari za kawe na mwenge/ makumbusho kwa mbele ataona hayo maduka awaeleze na kwa uwezo wa Mungu atapata tiba

polen kwa kuuguza
 
Back
Top Bottom