Nashukuru kwa majibu yakoMuulize daktari vizurii hapa sio hospital
Mke wangu alipatwa na tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi na madaktari wamemwambia huenda mume wako ana tatizo la low sperm court je unaweza kuwa biological reason?
Thanks much moto2012 kwa majibu yakoThat is not true, hakuna uhusiano wa mimba kutunga nje na low sperm count.
Umeona eehDoctor anataka amtafune mke wako mkuu!
ahahahahahhaha achana na majibu ya humu unaweza chizikaUmeona eeh
Majibu yote unakubaliana nayo mkuu ukiwa na shida unachambua mazuri unachukua mabaya unaweka kadoahahahahahhaha achana na majibu ya humu unaweza chizika
ahsante sana hata Mimi ni wasiwasi na huyo doctorsitaki kuamini kama ni doctor kweli alisema hivyo, hata kama alikuwa na usingizi au hangover
Ahsante mwenyewe Nina wasi wasi nayeHuyo doctor Ana vyet fek n tapeli Huyo
Ahsante kwa ushauri wako mkuuKama Mgonjwa husipokuwa makini Dr anaweza akakupa visivyo.
Ahsante mkuuKazinguaa huyooo..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hayo ni matatzo ya uzazi ya mkeo wewe haikuhusu kabisaaa! Itakuwa anataka sababu amlee wife wako
Hilo ni tatizo la mkeo mirija itakuwa imeziba kwa maana diameter ndogo, au ana uvimbe kwenye mji wa uzazi, tafuta gynecology mwingine aangaliwe kwa ultra soundMke wangu alipatwa na tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi na madaktari wamemwambia huenda mume wako ana tatizo la low sperm court je unaweza kuwa biological reason?
Ulichosema ni kweli mkuu maana alifanyiwa upasuaji mbili wa uvimbe na huo wa mimba nje ya kizazi kutolewaHilo ni tatizo la mkeo mirija itakuwa imeziba kwa maana diameter ndogo, au ana uvimbe kwenye mji wa uzazi, tafuta gynecology mwingine aangaliwe kwa ultra sound