Doctors Naomba msaada wenu please

Hilo ni tatizo la mkeo mirija itakuwa imeziba kwa maana diameter ndogo, au ana uvimbe kwenye mji wa uzazi, tafuta gynecology mwingine aangaliwe kwa ultra sound
Ulichosema ni kweli mkuu maana alifanyiwa upasuaji mbili wa uvimbe na huo wa mimba nje ya kizazi kutolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…