Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Figo zako zina uchafu wa aina gani.?Tuanzie hapoHabari zenu wakuu!
Samahani naomba msaada wa jina la dawa inayopatikana phamarcy au kwenye maduka ya dawa inayoweza kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo ili nikainunue..pia kwa wale wanaozijua dawa za asili msisite kushare uzoefu wenu na wapi zinaweza kupatikana hizo dawa.
Natanguliza shukrani zangu
tatzo ni kwamba kuna maumivu nyuma ya mgongo maeneo ya figo , pia ukinibana mkojo kuna maumivu makali nayapata maeneo hayo ya figo, so naamini mfumo wa mkojo kwa ujumla unauchafuUngesema tatizo linalokusumbua ungepata msaada vizuri zaidi. Kwa niaba ya Joseverest
nakunywa maji mengi sana nahisi yanapelekea matatizo kwenye figo na mfumo wa mkojoFigo zako zina uchafu wa aina gani.?Tuanzie hapo
Umeenda hospital kupima?tatzo ni kwamba kuna maumivu nyuma ya mgongo maeneo ya figo , pia ukinibana mkojo kuna maumivu makali nayapata maeneo hayo ya figo, so naamini mfumo wa mkojo kwa ujumla unauchafu
Maji ndo yanasababisha uchafu kwenye figo....!nakunywa maji mengi sana nahisi yanapelekea matatizo kwenye figo na mfumo wa mkojo
Yes inategemea na kiwango cha maji unachotumia ,Ungesema tatizo linalokusumbua ungepata msaada vizuri zaidi. Kwa niaba ya Joseverest
Maji ndo yanasababisha uchafu kwenye figo....!
Kunywa maji mengi ni vizuri kwa afya ya figo.Mtu inabidi anywe walau lita moja na nusu kwa siku.nakunywa maji mengi sana nahisi yanapelekea matatizo kwenye figo na mfumo wa mkojo
Sawa mkuu ,tukiachana na kunywa maji kwa hiyo hakuna dawa iliyopo phamarcy inayosaidia kusafisha figo?Kunywa maji mengi ni vizuri kwa afya ya figo.Mtu inabidi anywe walau lita moja na nusu kwa siku.
Iwapo una kiu kali na mwili unachoka sana na hamu ya kula imeongeka na unakojoa mkojo mwingi kuliko kawaida basi ukapime ugonjwa wa kisukari.
Sawa!ninayo inatoa sumu yoote mwilini .ila ni ghali tsh laki moja
Endelea kunywa maji mengi.Ndio tiba.Sawa mkuu ,tukiachana na kunywa maji kwa hiyo hakuna dawa iliyopo phamarcy inayosaidia kusafisha figo?
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app