Doctors nisaidieni dawa ya kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo

Doctors nisaidieni dawa ya kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo

tatzo ni kwamba kuna maumivu nyuma ya mgongo maeneo ya figo , pia ukinibana mkojo kuna maumivu makali nayapata maeneo hayo ya figo, so naamini mfumo wa mkojo kwa ujumla unauchafu
U.T.I itakua
 
Tumia maji mengi na Aloe vera itakusaidia...

Ukiwa unafanya hivyo nenda hospitali ukapimwe kabisa ijulikane dawa gani wakupe..

Pole sana ndugu
Pia kachumbari ya mlonge ni kiboko ya matatizo ya figo. Japo utatakiwa kuwa na moyo wa chuma ili kumaliza dozi yake.
 
Unakatakata vile viharage vibichi vya mlonge (na maganda yake) unachanganya na nyanya, vitunguu,chumvi kidogo na ndimu. Ila ni kwa vipimo maalumu kulingana na umri wa mtumiaji na ukubwa wa tatizo alilonalo.
sawa shemela
 
mkuuu basi sio mbaya mbona iyo ni salade za wadhungu basi ntaanza kula salade iyo...ubarikiwe kaka
 
Nenda Mwananyala kapime siyo gali ni sh 15,000 tu kupima utakua unsumbuliwa na Kidney stones
 
mkuuu basi sio mbaya mbona iyo ni salade za wadhungu basi ntaanza kula salade iyo...ubarikiwe kaka
Katika hiyo salade, mlonge ndio unatakiwa uwe mwingi zaidi.

Kila la heri kiongozi, ila mimi sio kaka ni dada!
 
Sasa ata kutoka siwez maumivu ysmekua makali sana
Habari zenu wakuu!
Samahani naomba msaada wa jina la dawa inayopatikana phamarcy au kwenye maduka ya dawa inayoweza kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo ili nikainunue..pia kwa wale wanaozijua dawa za asili msisite kushare uzoefu wenu na wapi zinaweza kupatikana hizo dawa.

Natanguliza shukrani zangu
 
Mi nakupa hii ambayo itaki nguvu. Pendelea sana kwenye mlo kama wanavofanya wachina pilipili zile kama bamia, vitunguu swahumu vya vibichi na changanya na soya souce.
Utamaduni huu unapendelewa sana nchi asia sana uwezi kuugua hayo magonjwa
 
Back
Top Bottom