Sasa 'kuajili' au kuajiri?Zuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania.
Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.
Zuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania.
Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.
KuajiriSasa 'kuajili' au kuajiri?
hahahahahaha wale wa fursa imeota mbawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaZuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania.
Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.
Aibu yake aliyewakubalia.Aibu kwetu sasa
Ha ha ha haaaaa waendelee kusisitiza tu kuwa watz wajitahidi watumie fursaAibu yake aliyewakubalia.
Hivi Tanzania kuna vyama vya wafanya kazi!!!!! Kuna vyama magarasa vya wafanyakazi.Nashangaa kwanini vyama vya wafanyakazi havikuweza kuimove mahakama ya Tanzania kuzuia hao madaktari kwenda Kenya kwa sababu tuna upungufu wa madaktari nchini. Ona sasa wametuwahi aibu ya kukataliwa