Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

"Haya ndo maambo ya mtaani kweeeetu"

Song: Mtaani kwetu
Artist: Sijui nani ft. Banana Zorro
 
Zuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania.
Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.

6191272ec991c72912fb10fe3d222b64.jpg
Sasa 'kuajili' au kuajiri?
 
Hili ni jambo jema, sidhani kama ilikuwa ni suluhisho mahususi kwa mgogoro wa madaktari na serikali yao kumalizwa kwa kupeleka madaktari kutoka Tanzania ilhali sisi wenyewe tuna uhaba mkubwa sana wa madaktari
 
Nililitegemea Hili Siku Nyingi Sana Nyinyi Wenyewe Hamuwaamini Kabisa,

Mpaka Mnatumana Kwenda Kutibiwa India Leo Mnataka Kuwapa Wenzenu Mabalaha

Pili Mtaruhusu Vipi Vijana Wetu Wakatumiwe Kama Cheap Labour???

Wenzao Wanagomea Mishahara Midogo Halafu Nyinyi Manajipendekeza Kuwa Tutawaleteeni Wakwetu ni Cheap??

Magufuli Alitakiwa Kuomba Msamaha Madaktari Wetu Ameonyesha Dharau Kubwa Sana Kwao
 
Kitu kizuri nikuwa
hakuna aliye lazimisha hilo litokee
waliomba wao
na ingelichukuliwa vibaya kama Tanzania tungeli kataa ombi lao!!
Tujifunze pia
 
Kuna jamaa alikuwa anapaki mizigo hapa jirani, huku akipiga muziki kwa sauti kubwa na kutamba kila siku kuwa anaenda Kenya kuwa tajiri. Ngoja hii wiki iishie nimuulize kama ni kweli.?
 
Sasa kumekuchaaaaa...sasa kumekuchaaaa jogoo limekwisha wika kwa kenyatta
wale madaktari watafute chochoro ya kutokea.

Zuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania.
Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.

6191272ec991c72912fb10fe3d222b64.jpg
 
Zuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania.
Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.

6191272ec991c72912fb10fe3d222b64.jpg
hahahahahaha wale wa fursa imeota mbawaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Imetulia.. Wenyewe tuna shida tuwakumbuke wao
 
Nashangaa kwanini vyama vya wafanyakazi havikuweza kuimove mahakama ya Tanzania kuzuia hao madaktari kwenda Kenya kwa sababu tuna upungufu wa madaktari nchini. Ona sasa wametuwahi aibu ya kukataliwa
Hivi Tanzania kuna vyama vya wafanya kazi!!!!! Kuna vyama magarasa vya wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom