na niabu,fedheha na ujuha kujiita mzalendo kwa kupongeza serikali ya Tanzania kukimbiza madaktari wake kwenda kenya wakati hapa nyumbani tunauhaba mkubwa wa madaktari ratio ya daktari kwa wagonjwa bado iko chini kushinda hata malengo tuliyojiwekea ya millennium,na niabu kubwa kwa serikali kushindwa kuajiri madaktari ilihali hiki ndio kilio kikubwa sana katika sekta ya afyauzalendo umekwisha kabisa miongoni mwa watanzania. wakawa wanafurahia watanzania wenzao waendelee kukosa ajira.
U-turn ya nguvu.Kitu kizuri nikuwa
hakuna aliye lazimisha hilo litokee
waliomba wao
na ingelichukuliwa vibaya kama Tanzania tungeli kataa ombi lao!!
Tujifunze pia
Kaombe CV yako japo uitumie kuwashia moto wa mkaa mkuuSa itakuwaje kwa sisi tuliotuma CV pale wizarani??
Ndugu yangu ivi kule kenya kungekuwa na amani ni mtanzania yupi angepinga madaktari kwenda huko. Jua wazi hayo ni masuala ya kisiasa hata ikitokea hao madaktari wakienda huko na wakadhurika majibu tutayapata kisiasa pia. Watu wanacheza na maisha ya wengine.uzalendo umekwisha kabisa miongoni mwa watanzania. wakawa wanafurahia watanzania wenzao waendelee kukosa ajira.
Sio kila kitu ukiombwa inakubali tu. Angalia na madhara yatakayowapata watu wako. Kusingekuwa na shida km ombi limejengwa ktk msingi wa amani, ila ilikuwa ni ktkt ya mgogoro so usitegemee km hao maDkt wangeishi kwa amani kuleKitu kizuri nikuwa
hakuna aliye lazimisha hilo litokee
waliomba wao
na ingelichukuliwa vibaya kama Tanzania tungeli kataa ombi lao!!
Tujifunze pia
Hili bokobora wamekomesha uhuni wa diktetor Museven 😉
Naongezea tu..na niabu,fedheha na ujuha kujiita mzalendo kwa kupongeza serikali ya Tanzania kukimbiza madaktari wake kwenda kenya wakati hapa nyumbani tunauhaba mkubwa wa madaktari ratio ya daktari kwa wagonjwa bado iko chini kushinda hata malengo tuliyojiwekea ya millennium,na niabu kubwa kwa serikali kushindwa kuajiri madaktari ilihali hiki ndio kilio kikubwa sana katika sekta ya afya
Sio kila kitu ukiombwa inakubali tu. Angalia na madhara yatakayowapata watu wako. Kusingekuwa na shida km ombi limejengwa ktk msingi wa amani, ila ilikuwa ni ktkt ya mgogoro so usitegemee km hao maDkt wangeishi kwa amani kule
Always huwa naitrain akili yangu kufikiri yaliyo juu. Kulipinga hilo haimaanishi kila kitu napinga tu.Unafiki wenu unachosha
leo umeongea hili
lakini kama ombi lingekataliwa usinge ongea haya
Uamuzi mushabaraMahakama ya Kenya ya Kazi -Labour Court, imeamuru serikali kusimamisha mpango wa kuwaajiri madaktari 500 kutoka Tanzania ikiwa ni pamoja na madaktari wengine toka nje ya nchi.
Hii ikiwa ni pamoja na watumishi wengine toka njeya nchi katika nyaja mbali mbali za KIAFYA.
Hili limetokea baada ya madaktari 5 kwenda mahakamani kupinga mpango wa serikali wa kuwaajiri madaktari 500 toka Tanzania.
Akitoa hukumu ya uamuzi wake wa ombi la madaktari. Justice Nelson Abuodha alisema serikali ilazimike kuwa ABSORB na kuwaajiri madaktari WOTE 1400 waliofuzu na bado hawajapata ajira.
Uamuzi huu umeweka SINTOFAHAMU kuhusu madaktari wa Kitanzania waliotarajiwa kuanza kazi mwanzoni mwa mwezi wa April mwaka huu.
Chanzo: Daily Nation
Uamuzi mushabara