INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,259
na niabu,fedheha na ujuha kujiita mzalendo kwa kupongeza serikali ya Tanzania kukimbiza madaktari wake kwenda kenya wakati hapa nyumbani tunauhaba mkubwa wa madaktari ratio ya daktari kwa wagonjwa bado iko chini kushinda hata malengo tuliyojiwekea ya millennium,na niabu kubwa kwa serikali kushindwa kuajiri madaktari ilihali hiki ndio kilio kikubwa sana katika sekta ya afyauzalendo umekwisha kabisa miongoni mwa watanzania. wakawa wanafurahia watanzania wenzao waendelee kukosa ajira.