Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

NGolo Kante

Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
80
Reaction score
131
KENYA: Mahakama imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania kwa sababu ndani ya nchi hiyo kuna Madaktari 1,400 wasioajiriwa.

- Mpaka sasa takribani watanzania 400 wenye taaluma ya Utabibu wameomba kazi hiyo.

======
Doctors have obtained orders restraining the government from hiring 500 Tanzanian medics amid a shortage.

The medics went to court to stop the government from hiring the practitioners saying there are 1,400 unemployed Kenyans.

KMPDU secretary general Ouma Oluga said: "It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day."

More on this: Hire 1,400 jobless Kenyans instead of bringing Tanzania doctors - Oluga

The Labour court made the ruling on Friday saying it will be in effect until the doctors' application is heard and determined

"That leave is hereby granted...to quash the decision of the government...to hire foreign doctors to be deployed to Kenya," read court papers dated March 31.

The court certified the matter as urgent and gave the government 21 days to respond to the application by the health workers.

The matter will be mentioned on April 19.

On March 18, Tanzanian President John Magufuli said they will send 500 doctors to Kenya to help address the shortage.

But the move has been opposed by several leaders. On Thursday, National Super Alliance co-principal Raila Odinga dismissed the plan saying it was misinformed, considering the high number of young qualified Kenyan doctors who lack jobs.

"It is disappointing that the government is seeking to recruit 500 foreign doctors yet there are hundreds of doctors looking for work," Raila said.

"We need to invest in resolving our policy problems in a way that leaves our citizens motivated and willing to serve our country."

He said the recent doctors strike was brought about by the many hiccups in the management of the health sector.

More on this: Shelve plan to hire 500 Tanzanian doctors, employ jobless graduates - Raila

Source: The Star
 
hakuna haja yakupeleka doctor's kenya.

wawalipe madoctor wao'

wakishindwa uhuru na mawaziri wake wakawatibu wagonjwa.

uhuru alikuwa anataka.kukimbia tatizo badala ya kusolve.

wape hiyoo 100% ongeza kodi wabakie na 40% mchezo umeisha.
 
Haya sasa ..kumbe kuna trained medics ambao hawajaajiriwa kenya, halafu waturuhusu tu kirahis sisi wa-tized kwenda huko na kuambiwa kua tuchangamkie fursa...hapa kwetu.kwanini hatutakiwi
Na kwa sababu hili.jambo limeendeshwa kisiasa naomba mods mmepeleke thread hii jukwaa la siasa.
 
Zuio hilo limekuja mara tu baada ya serikali ya Kenya kutaka kuajiri madaktari kutoka Tanzania.
Sababu ya katazo hilo ni kuwepo kwa madaktari nchini Kenya 1400 ambao bado hawajaajiriwa.

6191272ec991c72912fb10fe3d222b64.jpg
 
Nashangaa kwanini vyama vya wafanyakazi havikuweza kuimove mahakama ya Tanzania kuzuia hao madaktari kwenda Kenya kwa sababu tuna upungufu wa madaktari nchini. Ona sasa wametuwahi aibu ya kukataliwa
 
uzalendo umekwisha kabisa miongoni mwa watanzania. wakawa wanafurahia watanzania wenzao waendelee kukosa ajira.
 
Chama cha madaktari Tanzania kiliwaelimisha madaktari wa Tanzania kuhusu hili, lakini wakatia pamba masikioni na kuamua kutuma maombi katika wizara husika. Sasa imekula kwao. Siku nyingine vijana wawe na subira, hauwezi kwenda kufanya kazi katika nchi nyingine wakati nchi hiyohiyo imeshindwa kuwaajiri vijana wenye taaluma ileile halafu ukawa na amani. Never.
 
Ni ndani ya mwezi huu alituma ujumbe wake ili kuomba wafanyakazi 500 kwa kuwa sisi imma wafanyakazi wamezidi au kazi zimeisha.

Mchakato wa kutuma maombi umekamilika,mstarimfu ilikuwa tar 27 mwezi huu bila shaka.

Leo hii mahakama ya jirani inamzuia jirani yetu kuajiri hao ilhali kule kuna zaidi ya 1400 ambao hawajui khatima yao.
Je jirani yetu naye hakushauriwa???
 
Back
Top Bottom