swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Muulize baba yenu upara kama uwanja wa chatoMnaotoa vibali kwa wakenya kuajiriwa Tanzania futeni hivyo vibali watanzania kibao hawana ajira kwa nini mtoe vibali kwa wakenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize baba yenu upara kama uwanja wa chatoMnaotoa vibali kwa wakenya kuajiriwa Tanzania futeni hivyo vibali watanzania kibao hawana ajira kwa nini mtoe vibali kwa wakenya?
Chadema mna kesi ya kujibu kwa nini jiji la dar es salaam ambalo liko chini yenu kwa no nini mmetoa tenda za kuegesha magari kwa wakenya wakati kampumi kibao za watanzania za kupaki msgari hazina ajira?Safi Sanaa
sisi wenyewe huku mahitaji ya madactari ni makubwa
Uamuzi mushabara
Ha ha ha habora wamekomesha uhuni wa diktetor Museven 😉
Unachosema si kweli dada.Wakenya kamwe hawawadharau watanzania.Tabia ya wakenya kama kawaida wanapenda kuingiza utani kila wanapoona jambo ambalo hawajalizoea.Mnachofanya watz kila wakati wakenya wanapowatania,kwa sheng vijana wataita 'kucatch mafeelings'.Wakenya ambao hawajafika TZ na wale ambao hawajajuana na mtz yeyote ule moja kwa moja,picha wanayokuwa nayo ni kuwa kila kitu Tz kinafanywa kwa ustaarabu na pole wa kupindukia na bila haraka yeyote ile.Hii ni tofauti sana na mambo yanavofanywa Kenya.Ukiongezea hayo na lafudhi ya kitz inakuwa noumer.Kama uliona kwenye runinga,Kikwete alipohutubia bunge la Kenya mwaka uliopita utanielewa.Bunge lilikuwa limejaa?kila mbunge,present!Kumbuka halikuwa kikao cha lazima.Wote walitaka kusikia akiongea tu,alipojaribu kuwahutubia kwa kiingereza walikataa!Na hao ni wabunge!Madaktari wenu wangepata wakati mgumu lakini si kwasababu ya kudharauliwa.Wengi wa wakenya wangefika mahospitalini kujionea madaktari wakitz na wengine wangejifanya wangojwa ili wakahadithie wenzao walivohudumiwa kiustaarabu maanake madaktari wa Kenya,mmh!Hayo ndio maisha ya mtz anayeishi Kenya,sanasana Nairobi na Kenya bara,maisha ya u'celeb' kabisa.Akifungua mdomo,kuongea tu wakenya wanamkubali.Kumbuka hakuna aliyesema madaktari watz hawajahitimu kuwahudumia wakenya!Elewa wakenya dada usidanganywe na mtu!Karibu Kenya,utadhibitisha mwenyewe kuwa nayoyasema ni ya kweli.ni bora kwa kweli,
manake wakenya siku zote wanadharau wa Tanzania,
Daktari wa ki Tanzania angekua anafanya kazi kwenye mazingira magumu lol