Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 649
- 613
wakuu naomba msaada wenu hapa tutani. kwa zaidi ya wiki mbili sasa nimekuwa nikihisi maumivu (ambayo ni ya kawaida na siyo makali) kwenye P.u.m.b.u zangu hadi kupelekea kuninyima kwani nilizoea mara kwa mara mzee anasimama wima asubuhi au usiku lakini siku hizi naona hakuna au anasimama kidogo tu then analala. Niafanyeje wa kuu haya maumivu hayadumu sana ni kwa muda kidogo na yanatoweka. Msaada wa mawazo yenu wanajamvi