Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia mtafute jamaa anaitwa ZAGANZA kwenye hii thread Uliza lolote juu ya afya ya ngozi huenda akakusaidiaNaomba kuulza dawa inayoweza saidia kutibu skin asthma au eczema au allegy ya ngoz ambayo imekuwa chronic..? Maeneo alyopo kumpata doctor wa ngozi ni ngumu naamni umu tunaweza pata msaada!
nimemshauri akapime damu huenda kuna infection,kisha alete majibuPia mtafute jamaa anaitwa ZAGANZA kwenye hii thread Uliza lolote juu ya afya ya ngozi huenda akakusaidia
poa kiongozinimemshauri akapime damu huenda kuna infection,kisha alete majibu