Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kwa vile Mimi sio mtaalamu wa mambo ya uzito ninaomba wenye uelewa wa uzito wa mwili anipe ufanunuzi kidogo(ila asiwe doctor uchwara)
Nina urefu wa mita 1.78,Nina kilo 58kg je?uzito wangu unalingana na urefu wangu au gym inanihusu!?
Natanguliza shukrani
Sent by Diaspora
Nina urefu wa mita 1.78,Nina kilo 58kg je?uzito wangu unalingana na urefu wangu au gym inanihusu!?
Natanguliza shukrani
Sent by Diaspora