Wana-jamvi mnakubaliana nami kwamba hii kauli mbiu ya Mamlaka ya Bandari inashabihiana na kauli mbiu ya wasichana siku hizi? Yaani Document (Pesa) Kwanza Mzigo (Mapenzi) baadae....!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.