DOCUMENTARY: HIdden Colours (Historia ya Mtu Mweusi)!

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
408
Reaction score
248
By Tariq Nasheed..

kwa wasiojua, hidden colors ni documentary inayoelezea historia ya mtu mweusi (black man) like never before. Mimi nimeiangalia na kwa kweli ni documentary ambayo ni thought provoking sana! Inaelezea jinsi na kwa kiasi gani 'whites' wanafanya kwa makusudi kuficha na kufuta historia ya mtu mweusi. Baadhi ya mambo ambayo kwangu mimi yalikuwa mapya na ya kushangaza ni :-

Archeologists walivyokuwa wanapaka special chemical kwenye ile michoro ya kwenye pyramids za egypt ili kuzifanya zionake kuwa ni nyeupe zaidi na sio vivid black kama zilivyokuwa. So zinakua kama orange flan hivi.

Waafrika tayar walikua na ramani zao zinaonyesha clearly jinsi ya kufika bara la marekani na ndio waliomuelekeza christopher columbus na kua naye kwenye meli zake lakini nowhere wana acknowledge hilo.

Nafasi kubwa waafrika walikua nayo katika kuleta maendeleo hapa dunian katika mahali tofauti tofauti, mfano kwenye mambo ya ujenzi, na ushahidi mzuri kuwa kwamba kila walikowahi kupita huwa kuna ujenzi wa pyramids, mfano huko china na mexico.

Community nyengine za watu weusi ambao wana zile distinctive features za muafrika kulinganisha na races yoyote ile nyegine duniani. Mfano, china, india, indonesia, australia, gypsies. Na huku kote ni maeneo ambapo waafrika walikua wakienda sana katika kipindi hiko.

Contribution ya waafrika kwenye nyanja tofauti tofauti mfano, astrology, mathemathics, medicine.

Havard wana department inaitwa 'Herbaria' Ambayo wanafunzi huwa wanatumwa kwenda kwenye different parts za afrika kuangalia na kuchunguza dawa za waganga wa kienyeji kisha huwa wanarudi kuzifanya katika vidonge na kuziuza bila waafrika kupata faida ya aina yeyote kutokana na knowledge yao hiyo.

IQ tests zilitengenezwa na psychologist mmoja kwa mara ya kwanza kwenye concetration camps za Nazi, ili kuwatenga wale ambao wapo vizur na ambao sio, lakini haikuwai kuwa a standard measure ya intelligence ya mtu. Na jinsi gani propaganda zinaenezwa kuwa watu weusi huwa wana IQ za chini sana lakini huwa hawatangazi wale wanafunzi wanaotoka Afrika na kuwakimbiza vibaya sana wananfunzi wao.

Afrika ilipewa jina lake baada ya general wa Roman, Scipio Africanus.

Kuna mambo mengi sana yameongelewa kwenye documentary ambayo ipo katika parts, yaani part 1, 2 na 3 mpaka sasa, lakini bado inaendelea kutoka parts nyengine tofauti. Mimi mpaka sasa nimeangalia part 1, na nusu ya part 2 lakini, i have to say hii ni moja ya zile documentary ambazo ukiangalia na kumaliza, your mind is never the same kiaina flan. Like its this new body ofknowledge being unfold.

Ningependekeza kila mtu huku aweze kuitafuta na kupata nafasi ya kuangalia documentary hii. Hii ni trailer ya part 2 ya hiyo documentary.

Last edited by a moderator:
By Tariq Nasheed..

kwa wasiojua, hidden colors ni documentary inayoelezea historia ya mtu mweusi (black man) like never before.

kwa kiasi kikubwa wazungu wamejiweka mbele kwenye mambo mengi na wengi walifanya hivyo kipindi ambacho mzungu alikuwa ni 'superior race'.

Kwahiyo kuna sababu walifanya hivyo, ila pia kwa afrika hawakuwa 'advanced' sana kwenye shughuli za kuandika na kuchapisha kwahiyo kuna ukweli weusi wako 'slow' na wazungu wako mbele.

Jiulize swali jepesi, nani alitangulia kuandika comprehensive research ya vitu? Ukweli ni wazungu.. And if that is the case then they are ahead.
 
Unahaki ya kusifia ulicholishwa, ila sio ulichojilisha. Na ndio maana umediriki mpaka kumalizia hivyo.
Wakati wa soko la utumwa, pia walikuwepo watu kama wewe katika jamii za kiafrika. Waliweza kufanikisha bihashara hiyo imudu kadiri ya ilivyotakiwa.
Je unaamini kuna kipindi mtu mweusi alipata kua "superior"
Je unajua ni kwanini pia alikuja kuwa "inferior"?
 
acheni kujitekenya.

Unajua mkuu hizi siasa za wamarekani weusi sidhani kama zinahusiana na hali halisi ya leo Africa, how come eti ili tufeel good inabidi turudi miaka 500 nyuma..? wao wanapewa kila kitu na serikali yao lakini bado wanajikongoja, most wapo jela, ndiyo watumiaji wakubwa wa drugs, shule, kazi hawataki kisingizio white supreamacy.... haya na sisi huku tunasingizia ukoloni. ni mpaka tukitoka usingizini na kuamua kupambana kiuhalisia ndiyo tutakuwa huru otherwise ni excuses, excuses, excuses!!!!!
 
hivi kumbe tuna wenge twaona hatuna. wakati wazungu wanazunguka kutauta resoures waendeleee sisi ni making love, dancing and stealing our own welthy. sisi tunaiba kwetu tunaenda kuweka ulaya na tunaaga dunia hatuatumia wizi wetu. tukubali kwanza tunamatatizo ndipo tutapata namna a kuikwamua.
 
Unahaki ya kusifia ulicholishwa, ila sio ulichojilisha. Na ndio maana umediriki mpaka kumalizia hivyo.
Wakati wa soko la utumwa, pia walikuwepo watu kama wewe katika jamii za kiafrika. Waliweza kufanikisha bihashara hiyo imudu kadiri ya ilivyotakiwa.
Je unaamini kuna kipindi mtu mweusi alipata kua "superior"
Je unajua ni kwanini pia alikuja kuwa "inferior"?

hilo ni swali zuri, kwenye historia timeline/chronology ni muhimu sana.

kuna wakati naamini mtu mweusi alikuwa superior, wakati wa utawala wa Farao nchini Misri, Misri ilikuwa kama USA leo hii, ilikuwa ndio bora, na Farao alikuwa mtu mweusi, ila ukumbuke kabla ya hapo, kulikuwa na wazungu, maana Farao alikuja karne ya 3AD, kabla ya hapo civilisation ilikuwepo tayari 3000BC etc.
 
kwa kiasi kikubwa wazungu wamejiweka mbele kwenye mambo mengi na wengi walifanya hivyo kipindi ambacho mzungu alikuwa ni 'superior race'.

Kwahiyo kuna sababu walifanya hivyo, ila pia kwa afrika hawakuwa 'advanced' sana kwenye shughuli za kuandika na kuchapisha kwahiyo kuna ukweli weusi wako 'slow' na wazungu wako mbele.

Jiulize swali jepesi, nani alitangulia kuandika comprehensive research ya vitu? Ukweli ni wazungu.. And if that is the case then they are ahead.

Comprehensive research zote za Wazungu zimetoka kwa Waarabu, na Waarabu nao wamezitoa Africa kwa watu weusi
 
unaposema comprehesive research sidhani kama una consider timeline ya historia.

Mimi leo nikigundua kitu na nikawa na ufahamu wa hali ya juu nisipokiandika chini na neno la mdomo likamfikia mtu anayeweza kuandika na kutoa nakala basi mmiliki wa utafiti huo atakuwa yule aliyekaa na kuandika.

Sio kwamba na discount contribution ya mwafrika ila tatizo ni kwamba hata hizi theory za Darwin, laws za Charles, Newton, Galileo, Ohms, tunazozisoma leo hii wamisri walikuwa wanazijua lakini credit wanapewa wale waliojisumbua kuziandika kwa manufaa ya watu wengi.

Na ndio hapo final argument ya hii documentary inaposhindwa ku balance, kwamba pamoja na uwezo wa kufikiri wa mtu mweusi kama alishindwa kitu simple kama kuandika/document basi hakuna namna anaweza kupata credit na hilo mpaka kesho linamfanya yeye kuwa inferior kwa mzungu.
 
Kaka waafrika walivifanya vitu vingi tu, Waarabu wakaviandika na kisha Wazungu wakavitangaza Duniani na kujimilikisha, kuwa wao ndio waliovigundua,
 
I think issue ya muhimu, sio kuwa nani yuko mbele na nani zaidi, Kwenye hii documentary cha muhimu, ni kujua parts our history ambayo wazungu wanajitahidi sana kuifukia...
 
hilo ni swali zuri, kwenye historia timeline/chronology ni muhimu sana.

kuna wakati naamini mtu mweusi alikuwa superior, wakati wa utawala wa Farao nchini Misri, Misri ilikuwa kama USA leo hii, ilikuwa ndio bora, na Farao alikuwa mtu mweusi, ila ukumbuke kabla ya hapo, kulikuwa na wazungu, maana Farao alikuja karne ya 3AD, kabla ya hapo civilisation ilikuwepo tayari 3000BC etc.
Hivi Farao alikuwa mtu mweusi au Mwaarabu?? Ungeniambia alitoka Sudan ya kusini(NUBIAN) na kuhamia Misri hapo ningekuelewa.
 
So mnahitaji documentary kujua kuwa waafrica mko vizuri?
Kweli wazungu wamefaulu sana ktk lengo lao la kutubrainwash
 
Tena hata sio kidogo, nishawai ku argue na watu wengi tu ambao kwakweli wao they dont believe in anything african, ili niuma sana!
 
hilo ni swali zuri, kwenye historia timeline/chronology ni muhimu sana.

kuna wakati naamini mtu mweusi alikuwa superior, wakati wa utawala wa Farao nchini Misri, Misri ilikuwa kama USA leo hii, ilikuwa ndio bora, na Farao alikuwa mtu mweusi, ila ukumbuke kabla ya hapo, kulikuwa na wazungu, maana Farao alikuja karne ya 3AD, kabla ya hapo civilisation ilikuwepo tayari 3000BC etc.

Acha kuandika mambo usiyoyafaham dogo unajidhalilishaa. Soma hapa: www.realhistoryww.com
 
Hivi Farao alikuwa mtu mweusi au Mwaarabu?? Ungeniambia alitoka Sudan ya kusini(NUBIAN) na kuhamia Misri hapo ningekuelewa.

Unachekesha sana. Huamini kitu hadi uambiwe na mtu mweupe.. kweli utumwa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom