wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 248
By Tariq Nasheed..
kwa wasiojua, hidden colors ni documentary inayoelezea historia ya mtu mweusi (black man) like never before. Mimi nimeiangalia na kwa kweli ni documentary ambayo ni thought provoking sana! Inaelezea jinsi na kwa kiasi gani 'whites' wanafanya kwa makusudi kuficha na kufuta historia ya mtu mweusi. Baadhi ya mambo ambayo kwangu mimi yalikuwa mapya na ya kushangaza ni :-
Archeologists walivyokuwa wanapaka special chemical kwenye ile michoro ya kwenye pyramids za egypt ili kuzifanya zionake kuwa ni nyeupe zaidi na sio vivid black kama zilivyokuwa. So zinakua kama orange flan hivi.
Waafrika tayar walikua na ramani zao zinaonyesha clearly jinsi ya kufika bara la marekani na ndio waliomuelekeza christopher columbus na kua naye kwenye meli zake lakini nowhere wana acknowledge hilo.
Nafasi kubwa waafrika walikua nayo katika kuleta maendeleo hapa dunian katika mahali tofauti tofauti, mfano kwenye mambo ya ujenzi, na ushahidi mzuri kuwa kwamba kila walikowahi kupita huwa kuna ujenzi wa pyramids, mfano huko china na mexico.
Community nyengine za watu weusi ambao wana zile distinctive features za muafrika kulinganisha na races yoyote ile nyegine duniani. Mfano, china, india, indonesia, australia, gypsies. Na huku kote ni maeneo ambapo waafrika walikua wakienda sana katika kipindi hiko.
Contribution ya waafrika kwenye nyanja tofauti tofauti mfano, astrology, mathemathics, medicine.
Havard wana department inaitwa 'Herbaria' Ambayo wanafunzi huwa wanatumwa kwenda kwenye different parts za afrika kuangalia na kuchunguza dawa za waganga wa kienyeji kisha huwa wanarudi kuzifanya katika vidonge na kuziuza bila waafrika kupata faida ya aina yeyote kutokana na knowledge yao hiyo.
IQ tests zilitengenezwa na psychologist mmoja kwa mara ya kwanza kwenye concetration camps za Nazi, ili kuwatenga wale ambao wapo vizur na ambao sio, lakini haikuwai kuwa a standard measure ya intelligence ya mtu. Na jinsi gani propaganda zinaenezwa kuwa watu weusi huwa wana IQ za chini sana lakini huwa hawatangazi wale wanafunzi wanaotoka Afrika na kuwakimbiza vibaya sana wananfunzi wao.
Afrika ilipewa jina lake baada ya general wa Roman, Scipio Africanus.
Kuna mambo mengi sana yameongelewa kwenye documentary ambayo ipo katika parts, yaani part 1, 2 na 3 mpaka sasa, lakini bado inaendelea kutoka parts nyengine tofauti. Mimi mpaka sasa nimeangalia part 1, na nusu ya part 2 lakini, i have to say hii ni moja ya zile documentary ambazo ukiangalia na kumaliza, your mind is never the same kiaina flan. Like its this new body ofknowledge being unfold.
Ningependekeza kila mtu huku aweze kuitafuta na kupata nafasi ya kuangalia documentary hii. Hii ni trailer ya part 2 ya hiyo documentary.

Last edited by a moderator: