Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Nilotes pua zao sio nyembamba sana kama wacush na hayo masanamu hayana m nyuso mapana sana kama ya wabantu. Na wabantu wanapatikana sub saharan huko north africa sidhani kama yalikuwa ni makazi ya wabantu kutokana na nature ya kazi za wabantu weather ya huko haikutufaa. But pamoja na hayo why tusiprove kwa walimwengu kwamba sisi ni superior atleast kwa kuvumbua kitu chochote ambacho kitasaiidia ulimwengu mzima
Mbona vipo vingi tu ambavyo wazungu bado wanahaha kuvigudua na bado ila sisi waafrika tunavijua tunatumia na kutatua shida zetu wakati huo wazungu itachukua muda mwingi kuvijua?
Mi mwenyewe ninacho nikijuacho ambacho wazungu hawakijui na haitatokea wakijue!