machoalbi
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 404
- 351
Tetete!...watavishusha madege yakisasa na vijiti ,hawa wachawi wa south..........labda watavishusha na ushirikiana ambayo ndiyo fani yao maalum,....binafsi natamani siku moja tukatunishe na hawa....kupigwa na drones full scale,yaani conventional modern warfare, tukaimege Kilimanjaro yote mpaka Mwanza na kule Umaasaini.
Maneno mengi ya nini, mwambieni Uhuru alianzishe