Documentary ya KDF


Maneno mengi ya nini, mwambieni Uhuru alianzishe
 

No wonder vichaa huwa wanacheka na kufurahi sana ukiwaona barabarani.

One of the reasons ni kwamba they dream big and they do that in a broad daylight. Well vizuri. But ukweli ni kwamba hakuna kiongozi hata mmoja Kenya mwenye jeuri ya kusapot vita or kutaka anzisha vita na either Uganda or Tanzania.

Uganda occupies migingo island illegally, na wameweka soldiers huko na wanawapiga wakenya wapendavo. Nyie mko to hapa jamiiforum eti Jeshi Kenya hivi vile wakati watu wameanex eneo halali la nchi.

One of the army's essential obligations is: protection of territorial integrity.

Kajeshi kenu kapo tu...wakati wanajeshi wa nchi nyingine wamevamia eneo halali la kenya na wanawaua na kuwatesa wakenya ndani ya ardhi yao nyie mpo tu mkiangali. Thats weakness, its called stupidity.
 
Ile lile sakata la wasomali wawili waliowahenyesha jeshi zima la kdf ktk yale maduka yaliwashusha sana heshima..hasa baada ya jeshi kujisavia vitu ktk maduka ya watu.
 

With all their firepower, what happened to the US in Vietnam? What happened to Russia in Afghanistan? What happened to Uganda in 1978?
Usiropoke vitu usivyovijua, war is more than just drones and high tech bombers.
There's a reason why The Tanzanian army is listed as one of the best in Africa,
There's also a reason why even you Kenyans enroll your officers to TMA (Tanzania military academy).
 
kenya ili nunua SA-11 buk (Gadfly) baada ya Museveni kununua SU-30 flankers....

Tena kitu cha muhimu kenya iko na interlinked radar system ambayo ndo ina detect intruders, nyinyi hadi juzi juzi mlikua hamna ata radar, hamjui ni ndege gani inakuja nchi yenu hadi kenya ndo iwaambie ndege flani inaingia angani mwenu....... sasa hata muwe na SAM ngapi, kama hamna radar ambayo iko networked mtajua ndege gani ndo adui na gani ni rafiki? mtakua mnajishtukia unaachilia missile kwa ndege yoyote ilio ngani hadi zenu...


Sisi pia tulinunua Nora-52 self propelled artilary zenye zinatumia very high velocity projectiles (kwenye hio video hapo juu unaziona kidigo) tena zilikuja na gari zake za reconaisance (BOV-M11) zenye monitors for cordination kwahivyo mkieka hizo A-100 zenu karibu na mipaka yetu, tunazidengua one by one.....


lakini vita vya convenstional huanzia kwa anga, kwahivyo kabla mzifikishe karibu na mipaka, siku ya kwanza tunatuma ndege za kivita zije zichafue kambi zenu zenye zinaeka vifaa vikubwa, hizo SA-6 zenu ni za kitambo sana, tangu wakati wa vita vya kagera, angalau hizo a100 ndo ni za kisasa
 

Where is Tanzanian forces listed?....probably listed in your communist head!
Vita vya leo tofauti na jana
 
sijaelewa SA-6 ni ndege kwani?wasema mko na iyo aina ya ndege za kumwaga.nijuavyo SA-6 sio ndege unless nlichanganyikiwa au sijakuelewa

Kipi hukuelewa? SA-6 ni SAM surface to air missile. Tanzania operates SA-6, SA-17 as well as S-400 hizi ni SAMs za Mbabe Vladimir Putin, Russian made. Hapo bado SAMs kali za Kichina.
 
N
Unaamini uongo wa hawa wakomunisti?..mkomunisti kwa domo balaa!...., mpuuze mshenzi huyu!

Nimeweka na link inyoyo onesha SA-6 zikiwa zinapitishwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam during ys sherehe za Uhuru. Yaani hata kuclick link nayo ni kazi! Go check the link.
 
And there is a reason why they call the military academy in kenya the best in the region. I advise you to watch the vedio up there, most of the things you say are already answered up there
 
Kipi hukuelewa? SA-6 ni SAM surface to air missile. Tanzania operates SA-6, SA-17 as well as S-400 hizi ni SAMs za Mbabe Vladimir Putin, Russian made. Hapo bado SAMs kali za Kichina.
hahahahah
Tanzania iko na SA-6 pekee, tena ni zile verion 1 za kitambo sana,. hamna SA-17. Na ikija kwa S-400 (or SA-21/22) ata usijaribu kujisumbua... its the most advanced air defence system, hata marekani hawaingii hapo, zile stealth aircraft za marekani zinafanywa obsolete zikiekewa hio S-400, hapa africa ni egypt ekee ambayo iko na pesa za kutosha kunua moja ya hizo kwani unit cost ya moja ya hio ni $500 million... ati mko nazo, hahahaha duh, story za vijiweni hizo, kadanganye huko, si hapa
How Russia’s S-400 makes the F-35 obsolete
 

Mkuu Kafrican!...tofauti na wengi wanavyofikiri,Misri/Egypt hana hela hizo unavyodhania, jeshi lake tokea zama zile hadi leo hii hupata msaada maradufu toka Marekani, kama mkataba ili kuilinda/kutoikwaza Israeli.
Wao kila kifaa hata hela za ulinzi hutoka Marekani, katafute orodha ya msaada wa kijeshi Afrika na Mashariki ya kati utaiona.
Pamoja na uchumi wa Misri uliotetereka, siku hizi ndio husiseme kabisa.Hawana uwezo wa kiuchumi wa kununua vifa kama kama S-400.
Israeli pia msaada wa kijeshi toka Marekani maradufu, kushinda msaada anayotoa Mmarekani kwa nchi zote za Afrika chini ya jangwa la Sahara.
 

Hiyo ndiyo tamaduni ya majeshi kupeleka maafisa kujifunza kwenye nchi tofauti kama dhana ya ushirikiano wala usitegemee kikubwa hapo........haimaanishi vyuo hivyo vipo bora zaidi.
 

Too bad there are no supermarkets to loot in Somalia, the KDF must be disappointed!
 
Kojoa ukalale, acha watu wazima waongee sense!
Askari wa UK Na Turkey hawana tabia ya kuiba supermarket wakiwa operesheni za kijeshi, kwa hiyo usijilinganishe nao!

Kwani vilivyoibwa vya Tanzania?..afadhali hata hawa wenyu wanaiba mbao mitaani, ngoja nkalete source.
 
Kipi hukuelewa? SA-6 ni SAM surface to air missile. Tanzania operates SA-6, SA-17 as well as S-400 hizi ni SAMs za Mbabe Vladimir Putin, Russian made. Hapo bado SAMs kali za Kichina.
sasa hapa tumelewana cz statement yako ya mwanzo ilikuwa umenichanganya
 


egypt hupewa msaada wa kiasi cha pesa $1.2billion, mbali na hapo, nchi yenyewe inaongeza $7.5billion kama bajeti ya jeshi, juzi juzi tu wamenunua meli zinazo julikana kama helicopter/troop (mistral class assault ship) carriers kwa pesa $2billion ambazo meli moja inaweza beba karibu wanajeshi 600 ambao wako combat ready na vifaa vyao vyotr kutoka kwa vifaru,magari,helicoptor, yaani hizo meli mbili zikishuka karibu na bahari yenu inatosha hakuna tofauti hata kama nchi yenu iko wapi, wataweza safirisha zana zao zote za kivita kwa mpigo mmoja, wakati nchi zetu zengine hapa africa zinaweza pigana tu na nchi jirani maana hazina uwezo wa kupigana na nchi za mbali...

egypt wame order hizo S-400 baada ya Algeria ambayo iko na bajeti ya $10B ilipokea hio s-400.... Arab league kila mtu ako ready for the worst

Anyway, when I said egypt is the only country that can buy them, i dint intend to insinuate that Egypt economy is the only one that can support, I said that because even with economic difficulties, Edgypt spend alot of its % of budget to the army unlike many african countries, and their citizens support it too, if kenya today decided to spend $2billion on aquiring new weapons of all kinds, not so many people would be enthusiastic,
 

kwa nini usiingie kwenye link then ujionee then after uangalie nini nakuambia. Wajua bei ya A-100 MRLS moja, is the world best kwa sasa. je sisi tumeipataje ukizingatia bajeti yetu ambayo nyine mnaiponda kila kukicha. SA-17 or BUK zipo aina kadhaa BUK M4 BUK M3 ndio nazojua, wewe wasema hatuna, pole. S-400 Algeria wanaoperate hiyo kitu hata last years walifanya nazo majaribio. kwa taarifa tu Tanzania has the most advance and sock kubwa ya SAM in Africa. fanya utafiti kwa ninalokuambia.

na hii SA-6 unakubali kwakua tu tumekuonesha kwa picha, bila hivyo ungekataa na kwa taarifa SA-6 gainful ndio ilikua ya kwanza kutungua stealth aircraft ndania ya Bosnia, google hii taarifa hizi stealth aircraft zimetunguliwa nyingi tu na SA-3.
 
Mnajisifia upuuzi Wakenya, ndugu zenu wanakaaa katika kwy mabanda uko Brazil, alafu eti uchumi mzuri mnashindwa hata kulipia hotel mnakaa katika vibanda waombeni bbc swahili wawasaidie
 
seriously, hii info yako unapata wapi?
anyway, mi ata sina haja ya kuingia hio link, hizo picha zite niko nazo tayari, mi hua constantly natafta habari kama hizo za vifaa vipya na va kitambo za nchi za kiafrica, hakuna lolote unaeza niambia.

Alafu unamaanisha nini ukisema eti hio a100 ndo best in the world? tayari hata kabla hatujatoka nje ya china, kuna A-200 ambayo iko na presion guided sam, kunayo more advanced A-300 ambayo ina strike miltiple concentrated targets kwa wakati mmoja, alafu hao wachina wenyewe walitest hio a100 na nyengine inaitwa PHLO3, na hio A-100 ili fail miserably, sasa kuna zile smerch next gen version za russia, marekani nao wanayo yenye sijui inaitwa M270 ambayo ni kali zaidi.
Alafu yes, mko na stockpile kubwa ya SAMs, hata mwaka jana mimi mwenyewe nilisema kitu kama hicho hapa hapa JF, lakini nyingi ni obsolete, ni enzi ya bado russia ilikua inajulikana kama USSR, alafu vile nyinyi mko na poor storage nyingi ya hizo SAM hata hazifanyi kazi, zimelala tu mahali hazifanyiwi testing wala nini, ndo maana hata mli shoot ndege yenu moja ya kivita kwa bahati mbaya, obsolete useless equipment...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…