Mr. Politician Member Joined May 16, 2008 Posts 74 Reaction score 7 Nov 4, 2009 #1 Wadau naomba mtu yeyote mwenye document za ukubwa wa vitongoji (wards) zetu anipatie au hata links. Nahitaji za wilaya tatu za Dar ( Ilala, Kinondoni na Temeke) nimejaribu kwenye sensa ripoti sijapata. Naomba sana msaada wenu wadau.
Wadau naomba mtu yeyote mwenye document za ukubwa wa vitongoji (wards) zetu anipatie au hata links. Nahitaji za wilaya tatu za Dar ( Ilala, Kinondoni na Temeke) nimejaribu kwenye sensa ripoti sijapata. Naomba sana msaada wenu wadau.
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 840 Nov 4, 2009 #2 Mie ninazo ktk shapefiles na dbf au excel format, ni za sensa ya mwaka 2002, kwenye website walizitoa siku nyingi.
Mie ninazo ktk shapefiles na dbf au excel format, ni za sensa ya mwaka 2002, kwenye website walizitoa siku nyingi.