Documents za ukubwa wa wards (Vitongoji)

Documents za ukubwa wa wards (Vitongoji)

Joined
May 16, 2008
Posts
74
Reaction score
7
Wadau naomba mtu yeyote mwenye document za ukubwa wa vitongoji (wards) zetu anipatie au hata links.
Nahitaji za wilaya tatu za Dar ( Ilala, Kinondoni na Temeke) nimejaribu kwenye sensa ripoti sijapata.
Naomba sana msaada wenu wadau.
 
Mie ninazo ktk shapefiles na dbf au excel format, ni za sensa ya mwaka 2002, kwenye website walizitoa siku nyingi.
 
Back
Top Bottom