Dodo ya AliKiba: Mapato ya Youtube yamebuma, Shows hakuna, tutegemee ukimya wa muda mrefu

HII ISHU KAMA INAUKWELI HIVI, HAIWEZEKANI WASANII WAWILI WAKIMBIE KWA PAMOJA TENA KATIKA KIPINDI CHA MUDA MFUPI
Watu wanashindwa kujua kila mtu Ana interest zake itakuja kufikia tutaanza kusema kondeboy mbona Hana media yake!!!...au tutaanza kusema mbona Ay au Sugu hawajafungua media!!!...
 
Kiba hategemei music ..kuwa na ukaribu na Joho sio mchezo... Joho ni mara mia tano ya rafiki yake domo Kinje..wajanja mtakuwa mmenielewa
 
Yooooooo...
 
Umeongea vitu nyingi lakini hazina maana ni utopolo inshu ya abdady ......Nazani ab kwa maelezo yake alikaririwa akisena kiba aliswitch off mawasiliano baada ya yeye kufanya ile ngoma ya rich mavoko sasa hapo mambo ya pesa yanaingiaje............. Sema aby hakusanuka na wale jaama waliona kiba anawanyima usingizi kwa ile mikwaju ya..... Chekecha....aje.... Aje remix.... Lupela.... Na nyingine kibao katafute ukweli alafu ndio urudi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alikiba ataendelea kutoa Ngoma za aina hii ya Dodo basi ataendelea kuwa underground miaka yote
Kazi kuwatapeli tu na kuwa tenga maprodyuza tu
 
Na hapo ashukuru Beef la Mondi ndo linambeba nahisi angekua na viewers elfu kumi mpaka sasa, shida ya Ali anakujiskia sana ata Mashabiki wake damu kabisa wanaanza kumkataa.
 
Na hapo ashukuru Beef la Mondi ndo linambeba nahisi angekua na viewers elfu kumi mpaka sasa, shida ya Ali anakujiskia sana ata Mashabiki wake damu kabisa wanaanza kumkataa.
kumbe ana beef na mond!!!

kama mond anabeba wengine kwanini mashabiki wake mnanuna!!!!kwani ni kazi yenu hiyoo??
 
kumbe ana beef na mond!!!

kama mond anabeba wengine kwanini mashabiki wake mnanuna!!!!kwani ni kazi yenu hiyoo??
Kuongea unachokiona kuhusu Jambo si lazima uwe shabiki, by the way we unaonaje Mondi ana Beef na Kiba au Kiba ana Beef na Mondi? Eeh ashukuru sana maana angekua taabani sana
 
Bila shaka ungo unao. Kilichokosekana vitendea kazi vichache kama tunguri uanze kupaa hewani.
 
Kwa kuwa kampapasa shemeji yenu Hamisa ......Na jamaa alishakulaga kabla ya domo wenu
Kwani ww demu zako zote ulizitoa bikra,? K haina makombo labda shombo
 
Kuongea unachokiona kuhusu Jambo si lazima uwe shabiki, by the way we unaonaje Mondi ana Beef na Kiba au Kiba ana Beef na Mondi? Eeh ashukuru sana maana angekua taabani sana
sioni mwenye beef na mwenzie hapo,naona kila mmoja ana mambo yake tu,hawana ukaribu kama ilivyo mimi na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…