passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Nani alimpangia?Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alimpangia?Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Kwahiyo hapo ndio ilipoishia hii habar? Nipashe ni gazeti kongwe kuliko kuandika habar namna hii au mleta mada umeifupisha?
Mwanamke mmoja mkazi wa Mtaa wa Nduka, Kata ya Chamwino jijini Dodoma, Rehema Shabani (41), amefariki duniani kwa kujimwagia mafuta ya taa na kujiwasha moto akiwa amejifungia chumbani kwake.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa nne asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.
Alisema mtoto wake kabla ya umauti kumfika alikuwa akiumwa kwa muda mrefu hali ambayo wakati mwingine ilikuwa ikimfanya kuchanganyikiwa.
“Alikuwa anaumwa kabla ya tukio hili hali ambayo ilikuwa inamfanya wakati mwingine kuwa kama mtu aliyechanganyikiwa na wakati mwingine kuwa sawa.
“Leo niliamka asubuhi yeye akiwa amelala, lakini badaye aliamka na kuniuliza mama unapika uji nikasema ndiyo akasema sawa akaondoka akaenda dukani baadaye akarudi baada ya kukuta duka limefungwa na kisha kurejea tena dukani,” alisema.
Nipashe
Husemi wahindi???Uyo ana roho ngumu kama wajapani
Acha uwongo myebusiAlipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.