Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeelezwa kukamatwa kwa watu hao kumetokana na taarifa za kiintelejesia ambapo askari hao walikuwa nazo awali kuwa kuna vijana wanafanya shughuli hiyo na polisi kuweka mtego na kufanikisha wakiwa kwenye doriaUkute askari wala hawakujua mambo ya mirungi ila waliona pikipiki haina plate namba wakataka kuikamata.