Hii ni kampuni inayojihusisha na mambo yote yanayohusiana na viumbe wa kwenye maji kwa maana ya ufugaji wa samaki. Tunatoa ushauri na mafunzo ya jinsi ya kuaandaa bwawa la samaki na ufugaji wa samaki kwa ujumla, kuuza vifaranga vya samaki kama sato, kambare n.k, kuuza chakula bora cha samaki, kutibu samaki kama watakuwa wanaumwa n.k. karibuni sana tupo Dodoma. Wasiliana nasi kwa namba 0786 909 993.