TANZIA Dodoma: Asia Saidi, Mwenyekiti wa BAWACHA afariki dunia kwa kupigwa na mshale

TANZIA Dodoma: Asia Saidi, Mwenyekiti wa BAWACHA afariki dunia kwa kupigwa na mshale

Haki lazima iwepo ndiyo amani itapatikana
Uchaguzi wa mwaka huu, Mungu atusaidie sana amani itamalaki na uvumilivu uwepo kila mahali,bila ya kujali haki imetendeka au laah.
 
Warangi kumbe wana hasira na visasi namna hiyo.Lo!.Waislamu hawatakiwi kuwa hivyo.Kusameheana ni bora zaidi.Labda ingekuwa amemfumania na mkewe asingelaumika lakini mambo ya mifugo kama hakuweza kusamehe angekwenda mahakamani.
Angalia sasa thamani ya mazao yake yaliyoliwa na ng'ombe itakavyokuwa duni kuliko adhabu ya dunia na akhera atakayoipata kwa kuuwa.
 
Hao wafugaji akili zao hazitofautiani sana na mifugo yao.

Adhabu tu imekuwa kubwa lakini wanastahili adhabu kali.
 
Inaonyesha jinsi ambavyo unafikiri kama watu huwa hawasomi. Hiyo heading story imekuwa edited comment yangu ilikuwa na habari ambayo ni nusu nusu. Usiwe unakurupuka next time.
Heading ilikuwa na majibu yako yote. Kama imekuwa edited basi subuana na moderators siyo sisi wasomaji wa JF 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom