Uchaguzi wa mwaka huu, Mungu atusaidie sana amani itamalaki na uvumilivu uwepo kila mahali,bila ya kujali haki imetendeka au laah.
Na kwanini huwezi Kuamini kuwa inaweza isiwe ni mambo ya Kisiasa?
Jon Mrema anasema kura za maoni zilihitimishwa toka july 17. Inakuwaje hao wanaendelea?
Watatuua mpaka lini??
HakikaUnaweza kuta 7bu ni mambo haya haya ya siasa
Ukisha ona aliye uawa ni mwana cdm basi ujue kuna figisu kutoka lumumba
Chanzo cha kifo kimeshajulikana. Huoni aibu wewe boga?!
Heading ilikuwa na majibu yako yote. Kama imekuwa edited basi subuana na moderators siyo sisi wasomaji wa JF 🤣 🤣Inaonyesha jinsi ambavyo unafikiri kama watu huwa hawasomi. Hiyo heading story imekuwa edited comment yangu ilikuwa na habari ambayo ni nusu nusu. Usiwe unakurupuka next time.