Dodoma: Auawa na polisi baada ya kuwashambulia kwa mishale iliyohisiwa kuwa na sumu

Dodoma: Auawa na polisi baada ya kuwashambulia kwa mishale iliyohisiwa kuwa na sumu

Walishindwa kumtegea mtego na kumkamata? kabla ya kuuwawa aliua wangapi kwa hiyo mishale yake.

Inamaana akienda kunya anakwenda na mishale yake? usiku akilala analala na mishale yake, akiwa anatombana anakuwa na mishale yake, akiwa anakula anakuwa na mishale yake?

Polisi wangekwenda usiku wa giza kali na kipaza sauto akiwa ndani, wangetangaza ajisalimishe na baada ya Tangazo wanapiga risasi mbili juu kumjulisha wanasilaha na hapo baada ya wito wa barua wiki kabla na sound note kwenye simu vikimtaka ajisalimishe kwa kituo chochote cha polisi.

Kuua tu mtu kama huyo wakati mwingine ni kumkosea Muumba, wapo wanaopaswa kuwawa mara moja na sio huyo mjingamjinga, huyo alipaswa tu kupewa kashikashi na shule kidogo anakuwa raia mwema.

WAPO WATU WAMETUMIA 626BILIONI KUHESABU WATU HUKU WAHESABIWA HAWANA MAJI, SHULE, HUDUMA ZA AFYA nk, hawa ndio walipaswa kutandikwa risasi.
 
Polisi wekeni picha au video jamaa alivowashambulia na mshale ndipo wananchi waamini maana uaminifu wa wananchi kwa jeshi letu umeshuka Sana..
Daa we ni askari na angalau unalitambua hili,hongera!

Inaskitisha sana unaweza kwenda kuripoti kituoni lakini ukaumizwa kwa kipigo utafikiri wameingiza gharama kukutafuta!
 
Kazi inakuwa ngumu sana sehemu kama hiyo. Ila hakuna ujanja lazima kuwalinda walio wengi
 
Back
Top Bottom