Kapanik muoneeeni hurumaElezea vizuri basi
Inawezekana, wacha tumsubiri akipoa atatupa taarifa kamili.Kapanik muoneeeni huruma
Ajali bongo Ni Majanga vibaka hawanaga time na majeruhiInawezekana, wacha tumsubiri akipoa atatupa taarifa kamili.
Hawana utu wale viumbe, wajinga sanaAjali bongo Ni Majanga vibaka hawanaga time na majeruhi
Ya kichina
Mara nyingi hizi basi za kichina moto unaanzia kwenye brake system...Itakuwa ni tatizo la ku jam kwa breki.. Hiki pia kilichoma bus la Abood.
Watoe diff za kichina waweke za BPW!Mara nyingi hizi basi za kichina moto unaanzia kwenye brake system...