Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Takwimu hii imenifanya nijisogezea mitaa mbalimbali kushuhudia zoezi la upigaji kura nikianzia Mtaa wa Hazina ambapo nimekuta wanachama wa ccm wakipiga kula ya kuchangua wagombea watakaoiwakirisha Ccm katika uchaguzi wa serikali za mitaa, hapa nilishudia wanachama wa ccm wa mtaa wa mwaka wakapiga kura kwa utulivu ambapo kabla ujapiga kura viongozi wa ccm wanakagua kama kweli, lewe ni mwanachama kwa ufupi mtaa wa hazina viongozi wa ccm tawi ili walikuwa wamekaza balaa wakomaa wanachama pekee ndio wapiga kura halali
Katika pita zangu nikapita mitaa ya Chamwino Bonanza hapa ni mwendo mdundo yoyote anapiga kura hakuna kukaguliwa wala nini ni, nimeshudia idadi kubwa ya wanafunzi wa madrasa ya Halfa Hongera wykiwa wengi mno kwa ufupi hapa mmoja wa wagombea ameitumia nafasi hii ya Demokrasia ya upigaji kura kuzoa wasiokuwa wanachama waje kumpigia kura
Kwa siku ya Leo siku hii ya Leo October 23, ccm wametawara jiji la Dodoma uku vyama vingine michakato yaka ikiwa ni kimya kimya ambapo Chadema wamekuwa wakiendelea na zoezi la uchukuaji fomu, Act hawaonekani kabisa.