Muwe mnauliza kwanza, aliekwambia ujiunge humu hakukupa darasa mkuu??
Naunga mkono hoja...Mkaribishe mgeni bwana...
Halafu akizoea ataanza jeuri
Ebu sogea kidogo tukutane hapa La'ChaserMi nipo four ways hapa uwanja wa swai, mbona ungeniuliza jf ningekujibu kuwa hatuendi hiv,Unakuja kutudhalilisha tuonekane wagogo wote washenzi,NAOMBA RADHI kwa ajili ya ndg yangu huyu wa ukae Clement paul
Kaonyesha uhalisia wake...hao wanaulamba kitaa wengine hata ghetto pakulala hawana,wakizurula mchana wanarudi kwamama na baba.hongera sana ,unataka pakuweka nguo au pakulala,zikijikunja pasi zipoDodoma chang'ombe ndo home,full Amani kwa fasi hii.love my street.karbni mtaan kwngu...View attachment 1161530
Nimekuelewa San ndgu hao wengine wote wanarusha sana,unajua bhna watu tuna tabu sana.jamani emu kuweni bhna,kila mtu yupo free na lake kama cyo jambo baya.dah yani mtu mtandaoni unawez ukawa huru kujibu lolote bila kufikilia jibu lako.tatzo nini juu ya hyo post.dah afu wanaume wenzangu ndo wanaozingua,wana nyie niaje mbna hizo cuts chenga.machalii mnarucha,don't act life.siact life,hyo ndo life yangu.Kaonyesha uhalisia wake...hao wanaulamba kitaa wengine hata ghetto pakulala hawana,wakizurula mchana wanarudi kwamama na baba.hongera sana ,unataka pakuweka nguo au pakulala,zikijikunja pasi zipo
Hyo ni yako,what is problem wew mbna unarusha?Nimeacha kutumia fb sababu ya....... Sas naona na huku kumeanza
Afu man mmi cyo mgogo cha kwanza,ila kwa kuwa nimekulia hapa Dom nini nawaheshimu San ndgu zangu wagogo cwezi kuwatusi kiivyo man.heshimu watu bro,wote ni wa Tz haina kuona wengne niaje wala niajeEbu sogea kidogo tukutane hapa La'Chaser
hicho chumba wanakaa panya au binadam
Bro hakuna anayekusifia kwa kuongea ujinga,ukubwa cyo umri bro.hekima.cwezi mtusi mtu kijinga kwa kuwa mmi cyo mjinga,na mtaa ninaoishi cyo wa watoto wajinga wajinga,street yetu schoolDada, leo umetukosea adabu sisi wanaume.
Huyo ni mvulana
Fanya ununue heng'a basi asee hizo nguo kwenye msumari sio ishu wala nini si zinajikunja sana
Darasa.....??Muwe mnauliza kwanza, aliekwambia ujiunge humu hakukupa darasa mkuu??
Salute to youKaonyesha uhalisia wake...hao wanaulamba kitaa wengine hata ghetto pakulala hawana,wakizurula mchana wanarudi kwamama na baba.hongera sana ,unataka pakuweka nguo au pakulala,zikijikunja pasi zipo
Tumegoma kumbe ndio maana hata Ile spika yetu ina shida inaonekana ni swala la kikabila(natania)Mi nipo four ways hapa uwanja wa swai, mbona ungeniuliza jf ningekujibu kuwa hatuendi hiv,Unakuja kutudhalilisha tuonekane wagogo wote washenzi,NAOMBA RADHI kwa ajili ya ndg yangu huyu wa ukae Clement paul
Ongeza muda kwenye hiyo gym...biceps zinakuja kuja arifu
Tumegoma kumbe ndio maana hata Ile spika yetu ina shida inaonekana ni swala la kikabila(natania)
Wanaume au wavulana ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf!
We jamaa umedata?
Mwenye tatizo ni wewe na watu uliwaweka kwenye circle yako. FB or any other social network has nothing to do with the people you choose to interact with.Nimeacha kutumia fb sababu ya....... Sas naona na huku kumeanza