Dodoma Chang'ombe ndio home

Dodoma Chang'ombe ndio home

Nimeacha kutumia fb sababu ya....... Sas naona na huku kumeanza
 
Kaonyesha uhalisia wake...hao wanaulamba kitaa wengine hata ghetto pakulala hawana,wakizurula mchana wanarudi kwamama na baba.hongera sana ,unataka pakuweka nguo au pakulala,zikijikunja pasi zipo
Nimekuelewa San ndgu hao wengine wote wanarusha sana,unajua bhna watu tuna tabu sana.jamani emu kuweni bhna,kila mtu yupo free na lake kama cyo jambo baya.dah yani mtu mtandaoni unawez ukawa huru kujibu lolote bila kufikilia jibu lako.tatzo nini juu ya hyo post.dah afu wanaume wenzangu ndo wanaozingua,wana nyie niaje mbna hizo cuts chenga.machalii mnarucha,don't act life.siact life,hyo ndo life yangu.
 
Ebu sogea kidogo tukutane hapa La'Chaser
Afu man mmi cyo mgogo cha kwanza,ila kwa kuwa nimekulia hapa Dom nini nawaheshimu San ndgu zangu wagogo cwezi kuwatusi kiivyo man.heshimu watu bro,wote ni wa Tz haina kuona wengne niaje wala niaje
 
Dada, leo umetukosea adabu sisi wanaume.
Huyo ni mvulana
Bro hakuna anayekusifia kwa kuongea ujinga,ukubwa cyo umri bro.hekima.cwezi mtusi mtu kijinga kwa kuwa mmi cyo mjinga,na mtaa ninaoishi cyo wa watoto wajinga wajinga,street yetu school
 
Kulazimisha mambo unayoona wwe powa kwa upand wngu ngmu brother, think before hujaongea bro!kashfa hazijengi,zinabomoa.ukiwa na hekima hata Mungu pia anapenda kwa kuwa hekima ndo chanzo cha kila chema.Hekima
Fanya ununue heng'a basi asee hizo nguo kwenye msumari sio ishu wala nini si zinajikunja sana
 
Kaonyesha uhalisia wake...hao wanaulamba kitaa wengine hata ghetto pakulala hawana,wakizurula mchana wanarudi kwamama na baba.hongera sana ,unataka pakuweka nguo au pakulala,zikijikunja pasi zipo
Salute to you
 
Ah sema nini bro nafanya tu mazoezi ya kawaida ya home,siendi gym..sinyanyui chuma.mazoezi ya viungo tu ya kawaida ndo nayofanya,cku zote sipendi kunyanyua vyuma kwa kuwa chuma sio zuri.mazoezi bora ni kubeba mwili wako mwenyewe mfano push up.vichura chura na mengineyo mengi.chuma cyo powa,siwezi nyanyua
Ongeza muda kwenye hiyo gym...biceps zinakuja kuja arifu
 
Back
Top Bottom