Dodoma Chang'ombe ndio home

Afu man mmi cyo mgogo cha kwanza,ila kwa kuwa nimekulia hapa Dom nini nawaheshimu San ndgu zangu wagogo cwezi kuwatusi kiivyo man.heshimu watu bro,wote ni wa Tz haina kuona wengne niaje wala niaje
Kwa aina hii ya uandishi, basi tayari nimesha tambua unacho kitafuta humu jukwaani.
Kwa leo ngoja niishie hapa, maana aibu nimeona mimi...teh[emoji23]
 
Bro hakuna anayekusifia kwa kuongea ujinga,ukubwa cyo umri bro.hekima.cwezi mtusi mtu kijinga kwa kuwa mmi cyo mjinga,na mtaa ninaoishi cyo wa watoto wajinga wajinga,street yetu school
Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??
Alafu, naomba nimpongeze mwalimu wako wa lugha ya kiswahili kwa kutuandalia kijana mujarab kabisa....teh[emoji28][emoji28]
 
Reactions: Qwy
mkuu humu bora ata uweke picha ya makalio lakini sio uso maana kuna vichaa wa kila namna humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf!
Wa makao makuu ya nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walahi nmecheka Mimi.
Kaangalie na ule Uzi wake mwingine..utacheka ukae chini
Nope, sema wanaume wa mikoani
Wa dar naona mmepata pa kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kwani hapo nimetukana au nimetoa tuu ushauri wangu
Kulazimisha mambo unayoona wwe powa kwa upand wngu ngmu brother, think before hujaongea bro!kashfa hazijengi,zinabomoa.ukiwa na hekima hata Mungu pia anapenda kwa kuwa hekima ndo chanzo cha kila chema.Hekima
 
Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??
Alafu, naomba nimpongeze mwalimu wako wa lugha ya kiswahili kwa kutuandalia kijana mujarab kabisa....teh[emoji28][emoji28]
Aya bhna bro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…