Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mkuu usisahau kuweka n namba za simu wakifika maeneo yenu wakucall.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada, leo umetukosea adabu sisi wanaume.
Huyo ni mvulana
Kwani ni mgeni?Mkaribishe mgeni bwana...
Halafu akizoea ataanza jeuri
Sio poa unamcheka jamaa wakati yuko serious anakukaribisha geto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf!
Kwa aina hii ya uandishi, basi tayari nimesha tambua unacho kitafuta humu jukwaani.Afu man mmi cyo mgogo cha kwanza,ila kwa kuwa nimekulia hapa Dom nini nawaheshimu San ndgu zangu wagogo cwezi kuwatusi kiivyo man.heshimu watu bro,wote ni wa Tz haina kuona wengne niaje wala niaje
Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??Bro hakuna anayekusifia kwa kuongea ujinga,ukubwa cyo umri bro.hekima.cwezi mtusi mtu kijinga kwa kuwa mmi cyo mjinga,na mtaa ninaoishi cyo wa watoto wajinga wajinga,street yetu school
Kwa muandiko ule, inabidi atusamehe tu kwakweli.....teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msimtenge mwenzenu jamani.
Mumfundishe tu.Kwa muandiko ule, inabidi atusamehe tu kwakweli.....teh[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio poa unamcheka jamaa wakati yuko serious anakukaribisha geto.
Muwe mnauliza kwanza, aliekwambia ujiunge humu hakukupa darasa mkuu??
Wa makao makuu ya nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf!
Wa dar naona mmepata pa kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Nope, sema wanaume wa mikoani
Kulazimisha mambo unayoona wwe powa kwa upand wngu ngmu brother, think before hujaongea bro!kashfa hazijengi,zinabomoa.ukiwa na hekima hata Mungu pia anapenda kwa kuwa hekima ndo chanzo cha kila chema.Hekima
Mwana karatee mwenzangu karibu saana JFDodoma chang'ombe ndo home,full Amani kwa fasi hii.love my street.karbni mtaan kwngu...View attachment 1161530
Mkuu wewe ni msukuma nini kwasababu watu wa chato kwa ushamba mnaongoza.Dodoma chang'ombe ndo home,full Amani kwa fasi hii.love my street.karbni mtaan kwngu...View attachment 1161530
Heehehe aya bhana kamandaKwa aina hii ya uandishi, basi tayari nimesha tambua unacho kitafuta humu jukwaani.
Kwa leo ngoja niishie hapa, maana aibu nimeona mimi...teh[emoji23]
Aya bhna bro...Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??
Alafu, naomba nimpongeze mwalimu wako wa lugha ya kiswahili kwa kutuandalia kijana mujarab kabisa....teh[emoji28][emoji28]
Aya bhnaKwa muandiko ule, inabidi atusamehe tu kwakweli.....teh[emoji23][emoji23]