Dodoma Chang'ombe ndio home

Dogo ushauri wangu ni bora urudi Facebook hizi fedheha umeziomba mwenyewe
Mmi cjadhania kama ingeleta mzozo hivi kwa kuwa naona ni kawaida sana,cjaonyesha kitu kibaya.afu mmi picha zngu nying za geto San san nkiwa nafany mazoezi.pia brother wanaume hatutakiwi kujibizana hivyo,humu sehemu ya kuongeza marafiki,kubadirishn mawazo,mmi brother marafiki zangu wengi nawapatia mitandaoni yni kiamani,sasa humu dah imekuwa vurugu.boys cyo powa,sisi boys ndo tunaozikana tukumbuke.tunatakiwa tustiriane ktk makaburi.hmm,wa tz hatuna love sana, nimeshangaa sana ila kuna majamaa kadhaa hawajasema vitu sivyo.nimewakubali san, mtandao huu dah imekuwaje...no love hadi boys ipo hivi.bro cjui kama umenisoma
 
Ila umesha copy ushamba wa watu wa dodoma soma comment hapo juu ya Master of the game maybe utaelewa kwanini umekuwa kituko hapa jukwaani

Ila usiwe mbishi Kama kakaako lemutuzi
Mmi ni muelew bro yni ww ungenambia moja kwa moja bro kuwa mdogo wangu umezingua ktk ili na ili mmi ngecheck kma kwl nimebug ningesema kweli bro nimebug.sasa kwa style hii boys tunakuwa hivi.dah cyo lengo la kuletwa mitandao ilo jama, boys vpi tupo hivi.mmi naweza kumtetea boy yoyte nkiona anaonewa hata kam simjui kwa Kuwa naimani kuwa cku moja anaweza labda akaja kunisaidia,au nkifa labda yye anaweza akaja kunistiri kaburini.iko ivo.friends wanatengenezwa sehmu nying san brother hata humu mitandaoni.
 
Tofautisha boy na mwanaume, Kama unataka marafiki rudi Facebook, narudia tena soma comment ya master of the game
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah ni kweli nlikuwa napiga push up nyingi san kwa kuwa nlikuwa natafuta uzito wa mkono kwa kuwa mmi sipendi kupiga chuma.lakin kwa sasa nimepunguza kiwango cha push up yani napiga push chache tu na zile push up muhimu tu,baada ya hapo nafanya mengine ya kawaida.maana mmi najifunza michezo ya ngumi napenda so daily napasha geto bado cjaanza dojo kwa kuwa ni gharama.
 
Sawa sawa brother hapo nimekuelewa ndgu yangu,wwe ndo umenielekeza kama ndgu yako.wanaume mmi uwa naona kama wote ni ndugu so kwa mmi kwa upande wangu cjazoea kwamba mtu akikosea nimuanzishie vita ya maneno,napenda ukarimu napenda busara na ni mpole mno,sasa nkashangaa imekuwaje mbna vurugu afu kwa wanaume wenzangu afu hawaniambii tatizo nini.dah bro thanks kwa kuwa wew ni muelewa sana sana, hivyo ndo wanaume tunatakiwa tuishi brother. Tunakosea,tunapokosea tunarekebishan mambo yanakaa Sawa tunaunda kitu cha kujuana mwishowe watu mmekuwa kama ndgu mnasaidiana kma ikiwezekana.bro hapa home naish na rafiki angu lakn ndo kawa kama ndgu yangu yni tunasaidiana,mishe mda mwengin pamja tunapiga zikitokea kwa kuwa sisi ni tupo ktk mambo ya ufundi.
 
toa na picha yako katika avatar, hili ni chaka la wahuni sio kama FB
Aise,kwahyo humu hakuna busara kabis ndgu??
Unajua brother humu watu wengi tunakutana,so tungekuwa tunatumia mitandao vizuri kwa mambo yanayofaa ingekuwa makini sana..mmi nashukuru kwa kuwa na busara aise cwezi kumfanyia au kumwambia kitu cha ajabu mwanaume mwenzangu.cpendi kuzalilisha kwa kuwa najua ni dhambi sana,so hakika tunamsahau Mungu ndgu.ntaitoa brother
 
Sawa sawa kaka kama ikitokea ntafanya ivo.tupo pamja san brother
 
[emoji44][emoji44][emoji44]Ushimen ona hii[emoji115][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hiyo namba imemlenga jamaa na ni kwa ajil ya matizi maana yye pia ni mtu wa matizi.fatilia mwanzo wake kwanza brother mbna inakuwa tabu hivyo.tatzo nini brother mbna mambo ya ajabu hayaishi,understand me bro
 
Sawa sawa kaka kama ikitokea ntafanya ivo.tupo pamja san brother
Ngoja nikwambie kitu:
Humu huwa hatuweki avatar (profile picture) za sura zetu halisi, ili kulinda utambulisho wetu, vile vile hata majina tunayotumia sio halisi na hata namba za simu hatuweki wazi pia. Hiyo yote ni kwa ajili ya kujilinda kwani kuna watu wa aina zote na ni mwendo wa kuangalia nani kaharibu nini. So kuweka hivyo vitu halisi ni kuwarahisishia wenye kazi zao endapo utaharibu waweze kukunyaka kirahisi sana. So fuata ushauri wangu. Anzia kuondoa/kubadili hiyo picha yako halisi kisha omba kubadilisha jina. Kwenye App yako kuna sehemu ya kutuma msg kwa mtu umtakae, hiyo pia unaweza kuitumia kwa ajili ya kutuma msg kwa mtu mmoja mmoja, huko pia unaweza kumtumia namba za simu unaeelewana nae na sio kuweka namba zako wazi. You will thank me later! (Utanishukuru baadae).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…