Mmi cjadhania kama ingeleta mzozo hivi kwa kuwa naona ni kawaida sana,cjaonyesha kitu kibaya.afu mmi picha zngu nying za geto San san nkiwa nafany mazoezi.pia brother wanaume hatutakiwi kujibizana hivyo,humu sehemu ya kuongeza marafiki,kubadirishn mawazo,mmi brother marafiki zangu wengi nawapatia mitandaoni yni kiamani,sasa humu dah imekuwa vurugu.boys cyo powa,sisi boys ndo tunaozikana tukumbuke.tunatakiwa tustiriane ktk makaburi.hmm,wa tz hatuna love sana, nimeshangaa sana ila kuna majamaa kadhaa hawajasema vitu sivyo.nimewakubali san, mtandao huu dah imekuwaje...no love hadi boys ipo hivi.bro cjui kama umenisoma