Dodoma Chang'ombe ndio home

Dodoma Chang'ombe ndio home

Wemvulana, wapi umeona umetukanwa kwani...!!??
Alafu, naomba nimpongeze mwalimu wako wa lugha ya kiswahili kwa kutuandalia kijana mujarab kabisa....teh[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmi cjadhania kama ingeleta mzozo hivi kwa kuwa naona ni kawaida sana,cjaonyesha kitu kibaya.afu mmi picha zngu nying za geto San san nkiwa nafany mazoezi.pia brother wanaume hatutakiwi kujibizana hivyo,humu sehemu ya kuongeza marafiki,kubadirishn mawazo,mmi brother marafiki zangu wengi nawapatia mitandaoni yni kiamani,sasa humu dah imekuwa vurugu.boys cyo powa,sisi boys ndo tunaozikana tukumbuke.tunatakiwa tustiriane ktk makaburi.hmm,wa tz hatuna love sana, nimeshangaa sana ila kuna majamaa kadhaa hawajasema vitu sivyo.nimewakubali san, mtandao huu dah imekuwaje...no love hadi boys ipo hivi.bro cjui kama umenisoma
Hivi kabla ya kujiregister humu ulisoma hata jf rules?...
 
Dogo utanyakuliwa shauri lako..hii ni jf cheza tu...
 
Mzee humu wengi wajuaji,wanaona ni watu flani hivi kutoka Pluto ila achana nao fanya yako , ila kama umeamua kutumia uhalisia wako usije mtukana mtu, wala kuongea mbovu kwa kiongozi yeyote, mm kama mwana Adam mgeni JF nimegundua wengi ni waoga sana na wanafki wanajificha kwenye uhalisia wa uongo na kujidanganya kwamba wao mashujaa hawawezi kutishwa na kitu chochote
 
Back
Top Bottom