Arusha kwisha habari yenu kwenye Utalii 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGk85q2Nj3Y/?igsh=MXJjM20xbzJxdDY2bQ==
Kwahiyo Serengeti wanapata international airport kabla ya mwanza😂 sijui ndugu zangu kina kitombile Wana hali gani manake walisema watalii wa Serengeti watakua wanashukia mwanza si Arusha tena😀 by the way Serengeti ilishatufaidisha sana sasa hiv tunahamia kwenye conference tourism bila kusahau bado tuna tarangire, lake manyara, Arusha national park, lake natron, Olduvai George, lake eyasi, Mt Meru na Baba lao Ngorongoro crater