DODOMA: David Kafulila ataja vivutio vya uwekezaji kwa Ubia vinavyotolewa na Serikali kwa Mwekezaji hasa wa PPP

YAY

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
879
Reaction score
873
KAFULILA ATAJA MOTISHA AMBAZO MBIA ANAPEWA NCHINI TANZANIA

Dodoma – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Zacharia Kafulila, katika public lecture yake alieleza kwa kina kuhusu motisha (incentives) zilizomo ndani ya Sheria ya PPP, akisisitiza kwamba baadhi ya motisha hizo zimekuwa zikizua mijadala ya kina na ni muhimu kwa uelewa wa wadau wa uwekezaji.

Viability Gap Funding (VGF)

Kafulila alisema kuwa motisha ya kwanza ni Viability Gap Funding. Alifafanua kwamba VGF hutolewa pale ambapo mradi una economic viability lakini hauna commercial viability.

Alitoa mfano: “Kuna mradi wa bilioni 100 ambao hauwezi kufikia break-even kibiashara, lakini ukiwa bilioni 70 unaweza kufikia faida baada ya miaka kadhaa. Hivyo, kuna upungufu wa bilioni 30 ambao serikali inalazimika kufidia ili mradi huo uwe na commercial viability.”

Alisisitiza kuwa lengo la serikali ni kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa hata kama haileti faida ya moja kwa moja kibiashara, mradi tu iwe na economic viability.

Government Guarantees

Kafulila aliongeza kuwa Sheria ya PPP inatoa motisha ya government guarantees kwa wawekezaji. Alisema kuwa hii inawawezesha sekta binafsi kushiriki kwa ujasiri zaidi, kwani wanakuwa na uhakika wa kulindwa dhidi ya hasara fulani.

Dispute Resolution

Akizungumzia migogoro ya uwekezaji, Kafulila alikumbusha kuwa mwaka 1998 Tanzania ilitunga sheria kwamba migogoro yote ya kibiashara itaamuliwa ndani ya nchi, jambo lililosababisha wawekezaji wengi kukimbia kutokana na kukosekana kwa uhakika wa usuluhishi wa kimataifa.

Soma Pia; David Kafulila: Ni ngumu kutekeleza miradi yote ya maendeleo ya Wananchi kwa Kodi na mikopo pekee ndio sababu tunasukuma PPP

Alisema kuwa kwa sasa Tanzania imejiunga tena na ICSID (International Center for Settlement of Investment Disputes) ili kurudisha imani ya wawekezaji wa kimataifa na kuhakikisha migogoro ya uwekezaji inatatuliwa kwa uwazi na kwa viwango vya kimataifa.

Alisisitiza: “Hii ni meritocracy – dunia inahitaji uwezo, siyo rangi yako, kabila lako au dini yako.”

Tax Exemptions na Subsidies

Kafulila aliongeza kuwa motisha nyingine ni tax exemptions na wakati mwingine subsidies. Alisema kuwa misamaha ya kodi husaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuvutia uwekezaji katika sekta maalum, hasa zile zinazohitaji kuongeza ajira

View: https://www.instagram.com/reel/DZVbx5AAbh1/?igsh=MWI2a2I5Z2x0emQwZg==

Tutafanikiwa kabisa
 
Hakuna aaaaaa
 
Duuh
 
Uchawa uchaaa tu
 
Kule juu hamna mwenye maono yupo kama gari bovu, Kafulila anaweza kutumia nguvu kubwa mwisho wa siku matokeo sawa na zero
 
Sio sahihi kusema hivyo
 
kafulila anafanya kazi nzuri sana
 
  • Thanks
Reactions: YAY

Kichwa sana juyu bwana
 
Kafulila ni kijana mwerevu sana tu
 
Kafulila ni hazina yetu
 
Back
Top Bottom