mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Nazidi kuambiwa sasa Diamond ameanza kazi ya kubembeleza watu watawanyike kwa sababu za kiusalama maana hali ni mbaya ila watu wamegoma.Naambiwa ??????? Duuuuuh sa si bora Aliyekuambia Akupe Full mkanda
Mkuu haya mambo yameshatokea kwa Michael Jackson tu dunia hii na sasa history inaandikwa Tanzania. Tuendelee kuomba Mungu shughuli hiishe salama.Wanafunzi wamepata mteremko acha wauwane.mimi naendelea kugonga ugoro wangu [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Bila shaka atakuwa Nape na FebruaryHamna kitu kama hicho.
Issue ni kwamba baada ya diamond kuomba nyimbo kama tatu hivi akapendekeza watu walio kaa mbele karibu na jukwaa wasogee mbele zaidi ili waweze kucheza naye vizuri but hiyo kauli ili wafanya madenti wote wasogee mbele na hivo kusukumana kidogo.
Ila thanks God hiyo issue ilikuwa solved and no one was injured.
Source. Mie mwenyewe nilikuwa eneo la tukio pamoja na mawaziri wawili wa JPM
Asante kwa clarification mkuu.Hamna kitu kama hicho.
Issue ni kwamba baada ya diamond kuomba nyimbo kama tatu hivi akapendekeza watu walio kaa mbele karibu na jukwaa wasogee mbele zaidi ili waweze kucheza naye vizuri but hiyo kauli ili wafanya madenti wote wasogee mbele na hivo kusukumana kidogo.
Ila thanks God hiyo issue ilikuwa solved and no one was injured.
Source. Mie mwenyewe nilikuwa eneo la tukio pamoja na mawaziri wawili wa JPM
Mambo yatakuwa shwari tu shoo iko chini ya mdogo wangu le mutuz hakialibiki kitu
Picha kutoka dodoma
hahahahahahahaha doooh kweli dunia imevaa skirtMambo yatakuwa shwari tu shoo iko chini ya mdogo wangu le mutuz hakialibiki kitu