Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa

Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa

Hahahha Nimekumic chief, guess what juzi chibu alikuwepo Dodoma kidogo nikajichanganye na wanafunzi kushangilia sema Mr alibana dah.
Ananiambia mama mtu mzima ukaanze kurukaruka na wanafunzi, nikamjibu mbona mpira huwa unashangilia na utu uzima wako na ukifungwa unanunia hadi wanao?
Kumbe upo bungeni huku, hebu twende carribean pale tukaongee vizuri... Pia tuongee zaidi habari za diamond, zari na tiffah ha ha ha
 
Kumbe upo bungeni huku, hebu twende carribean pale tukaongee vizuri... Pia tuongee zaidi habari za diamond, zari na tiffah ha ha ha
Afadhali nimepata jirani, PM kunahusika sana. Carribean na weekend hii swaaafi kabisa. Tumalize majukumu tukajiachie.
 
Yes kwa Michael Jackson imetokea sana ila kwa hapa bongo cjaona. Dah? Dangote hongera zako baba Tiffah
 
Kwa habari nilizopenyezewa Dodoma kumetokea hali ya kutisha baada ya Diamond kupanda jukwaani na mashabiki kuchanganyikiwa na kuanza kukanyagana.

Naambiwa watu walikuwa wengi sana kwenye show kiasi wengine wamezimia na inasemekana............


Mlio huko tupeni taarifa ya uhakika nini haswa kinaendelea.

HALAFU WATU WANASEMA PESA HAZIPO ETI MH RAIS KAZIFUNGIA?VIWANJA SIKUHIZI VINAJAA KAMA KAWA.
 
Pamoja na kuleta Uzi WA kumchafua kuhusu vodacom kumtumia mbona bado anajaza Sana watu. Vodacom did the right choice. Mti wenye matunda ndio unatupiwa mawe.
Exactly! wataelewa tu
 
Back
Top Bottom