Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kumbe upo bungeni huku, hebu twende carribean pale tukaongee vizuri... Pia tuongee zaidi habari za diamond, zari na tiffah ha ha haHahahha Nimekumic chief, guess what juzi chibu alikuwepo Dodoma kidogo nikajichanganye na wanafunzi kushangilia sema Mr alibana dah.
Ananiambia mama mtu mzima ukaanze kurukaruka na wanafunzi, nikamjibu mbona mpira huwa unashangilia na utu uzima wako na ukifungwa unanunia hadi wanao?