Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa

Na wewe una ujuaji wako wakijinga si ukafundishe kiswahili Somalia [emoji2] [emoji2]

Tatizo lako kubwa ni ufinyu wa uelewa. Laiti ungalijuwa kuwa JF inasomwa dunia nzima na haina mipaka usingeandika uliyoyaandika.
 
ni kweli wanafunzi wengi wa UDOM ni zao la shule za kata hasa za vijijini? sitashangaa kama walizimia kweli maana wengi ndo mara yao ya kwanza kumuona 'live''
 
Kapeleke upuuzi wako Somalia

Baada ya kugundua kuwa tatizo lako kubwa ni ufinyu wa uelewa, sasa nimeelewa pia una tatizo la elimu. Laiti ungalijuwa kuwa JF inasomwa dunia nzima na haina mipaka usingeandika uliyoyaandika.

You are simply an uneducated fool from an uneducated school.
 
Hahahaha naona povu linakutoka rudi kwenu somalia tuone kama utakuwa na jeuri ya kuongea.
 
Hahahaha naona povu linakutoka rudi kwenu somalia tuone kama utakuwa na jeuri ya kuongea.

Somalia wanaishi binaadam tena kwa jinsi unavyoandika wao ni bora mara milioni zaidi yako.

Hivi una miaka mingapi?

Wewe inaonesha si elimu na ufinyu mawazo tu uliyonayo bali hata umri wako Inaweza kuwa hata kujichambisha uzuri bado hujaweza.
 
Hahaha povu litakutoka sana naona wewe elimu yako ya kukosoa watu hapa jf
 
Tatizo lako kubwa ni ufinyu wa uelewa. Laiti ungalijuwa kuwa JF inasomwa dunia nzima na haina mipaka usingeandika uliyoyaandika.
Hivo kwanini mnapenda Kumsumbua dada faiza?MBNA anasaidia kufanya corrections za kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…