Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kashinda kwa tiket ya chama gani?Moja wapo ya mambo ambayo nilitamani kuyaona katika uchaguzi huu, ni kuona wanawake nao wanashinda katika nafasi walizawania.
Hongera sana na kafanye kazi haswa kwenye mtaa wako!
================
Katika mtaa wa Kisabuje Halima Mdathiru ameshinda nafasi ya mwenyekiti wa mtaa, ameeleza namna wananchi wake walivyo mwamini Halima kisabuje alikuwa mwenyekiti wa mtaa huo hivyo ameeleza kuendeleza maendeleo katika mtaa wa kisabuje
Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024
Dodoma unategemea nini? Kuna watu wajinga kama wagogo? Kondoa ndio kuña watu wenye akili.chama gani? Nyundo na Jembe ya kijani au ni Chadema
CCM wanashinda mpaka Machame kijijini... issue sio ujinga wa watu waeneo husika, hakuna demokrasia ya magharibi. Acha kukashifu makabila ya watu, kuna wahaya hawajaenda shule na maprofesa, ipo hivyo kwa wanyakyusa, wangoni, wapare n.k... don't take it personal.Dodoma unategemea nini? Kuna watu wajinga kama wagogo? Kondoa ndio kuña watu wenye akili.
Wapi ambako CCM haijashida? Ina maana wagogo wapo hadi huko kwenu?Dodoma unategemea nini? Kuna watu wajinga kama wagogo? Kondoa ndio kuña watu wenye akili.
Kimeumana!CCM wanashinda mpaka Machame kijijini... issue sio ujinga wa watu waeneo husika, hakuna demokrasia ya magharibi. Acha kukashifu makabila ya watu, kuna wahaya hawajaenda shule na maprofesa, ipo hivyo kwa wanyakyusa, wangoni, wapare n.k... don't take it personal.